Tanzania ndio nchi yenye watu watii zaidi duniani, Wafanyakazi kutopandishiwa mishahara kwa miaka 3 nao wamekaa kimya ni ushahidi tosha wa utafiti huu

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Asubuhi njema.

Nilikuwa napitia duru za siasa ulimwenguni nikagundua kuwa wanadamu tumetofautiana kimtazamo na kimsimamo hapa ulimwenguni.

Leo nimepata jibu kamili kuwa Tanzania imejaaliwa kuwa na watu watii mno. Kitendo cha watumishi wa umma kutopandishwa madaraja au mishahara kwa miaka 3 au minne mfululizo huku Rais akijitapa nchi ina fedha za kutosha na watumishi wameendelea kuwa watii kwa serikali yao.

Ni nchi gani ina wananchi/watumishi wenye utiii wa kiwango hiki hapa duniani?

Utii ni utii tu haijalishi unafanya kwa woga au kwa moyo mkunjufu.
 
Wajinga ni wengi mno kuliko wenye akili.
 
Duuuh. mkuu umegonga palepale
Wengi hawana akili timamu

USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO
 
Na maboresho ya mishahara wamesema this time yamelenga kada za majeshi zaidi.

Mwafaaaaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Labda Nyerere Kuna kitu aliwafanyia watanganyika ili kulaza bongo zetu, au yale matambiko ya bwaga moyoo

USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO
 
Asubuhi njema.
Nilikuwa napitia duru za siasa ulimwenguni nikagundua kuwa wanadamu tumetofautiana kimtazamo na kimsimamo hapa ulimwenguni.
Leo nimepata jibu kamili kuwa Tanzania imejaaliwa kuwa na watu watii mno. Kitendo cha watumishi wa umma kutopandishwa madaraja au mishahara kwa miaka 3 au minne mfululizo huku Rais akijitapa nchi ina fedha za kutosha na watumishi wameendelea kuwa watii kwa serikali yao.
Ni nchi gani ina wananchi/watumishi wenye utiii wa kiwango hiki hapa duniani?.
Utii ni utii tu haijalishi unafanya kwa woga au kwa moyo mkunjufu.
Sio Utii ni LIMBWATA LA.MWENGE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom