Nataka Korosho - nisambaze madukani na Supermarkets

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Watanzania wanaweza kula Korosho kwa wingi kama zikipatikana kwa urahisi.

Sasa hivi mtu akitaka kula Korosho mpaka utafute kwenye supermarket kubwa.

Nimeona fursa, nitaka kusambaza korosho kwenye Maduka ya kawaida (kwa Mangi), Maduka ya Wapemba, Kioski .nk

Mfano: Kama Diamond Karanga amefanikiwa, Why not Korosho?

Mfano mwingine-- Kahawa (Ghahawa) inapatikana koote
 
Back
Top Bottom