Hatimaye Muasisi wa Mtandao wa WikiLeaks akamatwa Uingereza

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,224
2,000
Julian Assange ambaye ni muasisi mwenza wa Mtandao wa WikiLeaks, amedakwa na Polisi jijini London, Uingereza baada ya kukaa mafichoni kwa takribani miaka 7.

Jamaa alilazimika kukimbia nchini mwake kutokana na hofu ya kuuawa kwa namna ambavyo mtandao wake ulikuwa ukifichua nyaraka za siri za mataifa mbalimbali, hasa Marekani.

Ubalozi wa Ecuador ambako ndiko alipokuwa akifichwa kwa kinga maalum (asylum) umesema umelazimika kumtosa jamaa baada ya kuvunja masharti mbalimbali.

My take: Huenda jamaa wamemuuza aisee!
===========

Julian Assange: Wikileaks co-founder arrested in London

Mr Assange took refuge in the embassy seven years ago to avoid extradition to Sweden over a sexual assault case that has since been dropped.

The Met Police said he was arrested for failing to surrender to the court.

Ecuador's president Lenin Moreno said it withdrew Mr Assange's asylum after his repeated violations to international conventions.

But WikiLeaks tweeted that Ecuador had acted illegally in terminating Mr Assange's political asylum "in violation of international law".

Home Secretary Sajid Javid tweeted: "I can confirm Julian Assange is now in police custody and rightly facing justice in the UK.

"I would like to thank Ecuador for its cooperation & metpoliceuk for its professionalism. No one is above the law."

Mr Assange, 47, had refused to leave the embassy, claiming if he did he would be extradited to the United States for questioning over the activities of WikiLeaks.

Source: https://www.bbc.com/news/uk-47891737
 

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,224
2,000
Yes. Naona Twitter kumecharuka huko na Hashtag ya #FreeJulian

See > https://www.bbc.com/news/uk-47891737

Pichani akiwa anatolewa ubalozini kwa nguvu..
D33WN9BVUAIekQQ.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
4,498
2,000
kwahiyo kwa miaka yote 7 alikuwa anaishije kwenye korido za ubalozi na vipi kuhusu haki zake hasa haki ya kujaamiiaaaana alikuwa akizipata bila shida
 

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,708
2,000
Usalama wake upo hatarini. Jamaa site yao imeto siri nyingi sana halafu nyeti kweli kweli.. Huenda akala mvua za kutosha au hata kifo..

Imagine, mtu kama Mange Kimambi atemwe na Marekani kisha Polisi wa Baba Jesca wapate kibali cha kumkamata!

Sent using Jamii Forums mobile app

Alishasema wakimkamata wataning'iniza chuchu zake
Lakini assange alikuwa hana maisha kwa kweli maana kukaa ndani tu haina tofauti na jela

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,497
2,000
Hivi manning bado yupo ndani? Maana ndio chanzo cha yote, hasa zile clips zake mbili za bagdard na afrghanstan
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom