ITV: Hongereni kwa kuanzisha kipindi cha SHAMBA LULU.

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,791
3,360
Nitoe pongezi kwa ubunifu wenye ushindani makini. Kule Kenya kuna SHAMBA SHAPE UP yenye muundo kama hii SHAMBA LULU. Naamini sisi wakulima na wafugaji tutafaidika sana.
 
Watangazaji wa shamba shape up wanatangaza vizuri wana background melody tamu hawachoshi, na hiyo shamba lulu iko hivyo au ubabaishaji? (Kisimbusi changu hakina ITV)
 
Watangazaji wa shamba shape up wanatangaza vizuri wana background melody tamu hawachoshi, na hiyo shamba lulu iko hivyo au ubabaishaji? (Kisimbusi changu hakina ITV)
Wapo vizuri. Leo asbh hii, nimemwona Abdalla Mwaipaya na mtaalamu wa kilimo cha papai. Imependeza. Kubwa, hawa watangazaji wetu wapate dondoo za elimu ya zao watakalorusha ili wahoji vizuri na kitaalamu zaidi.
 
Back
Top Bottom