Ulimwengu (Universe) una ukingo au hauna mwisho?

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Wanasayansi wanasema kuwa inakadiriwa kuna nyota zaidi ya septillion moja katika ulimwengu

(1,000,000,000,000,000,000,000,000,000)

Mpaka sasa inakadiriwa kuna mabilioni ya sayari na mamilioni ya galaxies ambayo yapo mbali sema ni ugumu wa kuzifikia tu, ulimwengu tunaoishi ni mkubwa sana na hii ndio video yake ikionyesha ukubwa wa ulimwengu

Je ulimwengu wetu pamoja na ukubwa wake yawezekana ukawa na ukingo yani mwisho au hauna mwisho?
 
Bado hatujui
Hata kukiwa na kingo, nje ya ukingo huo kutakuwa kuna nini?
Bado hatujui
Au nje ya hiyo kingo kutakuwa kuna ulimwengu mwingine tusioweza kuuelezea?
Bado hatujui
Hivi tukiuondosha huu ulimwengu/maada zote pamoja na utupu kitabaki nini au kutakuwa na sura gani?
Bado hatujui
Nini chanzo cha haya yote na nini hatima ya yote?
Bado hatujui
Bado hatujui
 
Hili jambo liko nje ya uwezo wetu wa kufikiri . Anga ni pana sana nashauri unywe maji ukalale, kesho amkia tunayoyaweza. [emoji120]
 
Bado hatujui
Hata kukiwa na kingo, nje ya ukingo huo kutakuwa kuna nini?
Bado hatujui
Au nje ya hiyo kingo kutakuwa kuna ulimwengu mwingine tusioweza kuuelezea?
Bado hatujui
Hivi tukiuondosha huu ulimwengu/maada zote pamoja na utupu kitabaki nini au kutakuwa na sura gani?
Bado hatujui
Nini chanzo cha haya yote na nini hatima ya yote?
Bado hatujui
Bado hatujui
Good
 
Mkuu nimependa hizi tenzi zako za rohoni
 
Back
Top Bottom