Meneja Vodashop ya Morogoro Mjini kanidhulumu pesa


I

IQup

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Messages
275
Points
500
I

IQup

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2018
275 500
Huyu meneja tangu february 19 mwaka huu anazungusha pesa yangu hataki kuitoa kanipa kiasi tu cha pesa inayotakiwa, nyingine iliyobakia hataki kumalizia na sasa hapokei simu wala hajibu meseji.
Pesa ndogo sana inamtoa imani, hakukopeshwa ni pesa ambayo ilikuwa ktk laini moja ilitakiwa aihamishie laini nyingine...lakini uaminifu umekuwa mwiba kwake, nawaomba mwenye mawasiliano ya mkubwa wake ili nilipeleke kwa boss wake maana pale ofisini Morogoro Mjini yeye ndio anaonekana mkubwa wa tawi lote.
 
UNIQUEMAN1

UNIQUEMAN1

Member
Joined
Mar 20, 2018
Messages
34
Points
125
UNIQUEMAN1

UNIQUEMAN1

Member
Joined Mar 20, 2018
34 125
Huyu meneja tangu february 19 mwaka huu anazungusha pesa yangu hataki kuitoa kanipa kiasi tu cha pesa inayotakiwa, nyingine iliyobakia hataki kumalizia na sasa hapokei simu wala hajibu meseji.
Pesa ndogo sana inamtoa imani, hakukopeshwa ni pesa ambayo ilikuwa ktk laini moja ilitakiwa aihamishie laini nyingine...lakini uaminifu umekuwa mwiba kwake, nawaomba mwenye mawasiliano ya mkubwa wake ili nilipeleke kwa boss wake maana pale ofisini Morogoro Mjini yeye ndio anaonekana mkubwa wa tawi lote.
Namfaham ngoja nicheki naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
2,170
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
2,170 2,000
Piga Huduma kwa wateja 100
 
Kiteitei

Kiteitei

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2009
Messages
1,404
Points
1,500
Kiteitei

Kiteitei

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2009
1,404 1,500
........ngoja kwaaaanzaaa,hiyo laini uliyotaka pesa ihamishwe ilikuwa ya kwako mzee baba au ndio mambo ya aliyeuza cheni feki kapewa hela bandia!!!!
 
CHAULA RICH

CHAULA RICH

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Messages
5,235
Points
2,000
CHAULA RICH

CHAULA RICH

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2015
5,235 2,000
Nakushauri Mkuu ungeenda Kituo cha Polisi, huko ungepata jawabu la Tatizo lako, lkn hapa jukwaani inakuwa ni Majungu na Masufuria na hakuna Msaada wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I

IQup

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Messages
275
Points
500
I

IQup

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2018
275 500
........ngoja kwaaaanzaaa,hiyo laini uliyotaka pesa ihamishwe ilikuwa ya kwako mzee baba au ndio mambo ya aliyeuza cheni feki kapewa hela bandia!!!!
Hapana mzee baba, stori kamili ilikuwa hivi:
mm nina ndg yangu aliniazima Leseni nipate laini nifanye biashara..baadae tukakorofishana basi akaenda kuswap laini..(tukiwa hapo hapo jirani na laini ikiwa inafanya kazi nikashangaa sipigiwi simu wala kutumiwa sms bali laini ikazimishwa ghafla...nikajiuliza wameshindwa kuniita nipeleke laini ofisini yeye na meneja wake basi nikatulia). Nikamfuata aliyenipa leseni nikamuuliza akakiri amepeleka maombi ya kuswap laini...basi nikamwambia ndani kuna kiasi fulani cha pesa hakikisha meneja anakupatia na unanipa pesa yangu wewe unabaki na laini. Nikaona binti ananipiga chenga anataka atoroke na pesa iliyomo ndani basi nikampeleka mahakamani ili aseme akipewa laini pesa atanipa au hanipi?..
Nako mahakamani akakiri tukapewa kazi ya kufanya hadi pesa itakapopatikana, meneja akadai anamtambua mwenye jina linalosoma ktk laini...mm nikasema sawa, akasema niondoke...ila nikamwambia ndani kuna pesa kiasi fulani. Mda umeenda akampatia laini yule dada, mm namuuliza dada pesa iko wapi?, yeye anasema meneja anasema kaitoa uende wewe mwenyewe kuchukua ofisini kwakuwa imeonyesha tunamgogoro mkubwa. Nikaenda kufuatilia nikamkuta nikajibiwa niweke namba ya simu pesa atatuma....eeeh bwana eeeeh....nimekaa sana kila nikikumbusha najibiwa alisahau...maneno yakawa mengi.
Mwisho juzi kati katuma pesa pungufu, kila nikimpigia na kumtumia meseji kumweleza hajibu wala hapokei simu, nimewasiliana na wafanyakazi wa ofisini pale kuwaeleza naona nao ni wadogo hawana msaada, nao wanasema subiri subiri. Huu mchezo waliuanza tarehe 10 February 2019 hadi sasa hivi, pesa pungufu wanairusha April tena kwa kuwasumbua mara kwa mara

Sasa nakumbushia pesa yangu wamalizie kurusha maana ilikuwa pesa ya kwenye mtaji wangu na hilo salio ndio muamala wa mwisho kabla hawajaifunga laini. Kama vodacom ni wezi basi wawe wazi waseme pesa hupati au unapata.
Bado sijaamua kurudi kwa hakimu aliyetuamuru pesa yote ikipatikana twende tukafute madai, hii kazi ameamua kuibeba meneja.
Pia nawaza inawezekana wakawa wamegawana pesa hiyo kati ya yeye meneja na huyo dada,,,,,bado nalifikiria hili
 
I

IQup

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Messages
275
Points
500
I

IQup

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2018
275 500
Nakushauri Mkuu ungeenda Kituo cha Polisi, huko ungepata jawabu la Tatizo lako, lkn hapa jukwaani inakuwa ni Majungu na Masufuria na hakuna Msaada wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, ila kuna kiporo mahakamani ambacho nimempeleka mtu mwngne. Jukumu la meneja ilikuwa atupatie maelezo tu kwamba alipofunga laini tar 10 Febr alikuta kuna kiasi gani cha pesa? aliposwap laini ilitakiwa ibaki na kiasi hicho hicho cha pesa. Sasa ilikuwa chenga sana kutoa hilo jibu hadi akafikia kunitumia pesa pungufu
 
social_science

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Messages
1,071
Points
2,000
social_science

social_science

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2015
1,071 2,000
Nachukia dhuruma sana,kama upo jirani na eneo lake la kazi weka kambi hapo ofisini kuwa serious kidogo usimchekee wala usikubari ahadi za nenda rudi.Kitendo cha kukupa fedha pungufu nimakosa inaweza pelekea kupoteza kazi.
 
kokontiko

kokontiko

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
13,538
Points
2,000
kokontiko

kokontiko

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
13,538 2,000
Unazunnguuukaaaa!Ni shilingi ngapi unadai?
 
walitola

walitola

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Messages
1,941
Points
2,000
walitola

walitola

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2014
1,941 2,000
Uyo meneja mzima analeta mambo ya wizi anajishushia heshima yake kabisa kwa mambo anayoyafanya
 
kokontiko

kokontiko

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
13,538
Points
2,000
kokontiko

kokontiko

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
13,538 2,000
Elfu 37. Unajua hata kama namdai shilingi mia ni yangu si yake, kitu kisicho chakwako unaanzaje kuwa na tamaa nacho mkuu?
OK. Mkazanie alipe.
 

Forum statistics

Threads 1,295,000
Members 498,135
Posts 31,195,725
Top