Hii lugha ni ya mkoa gani wakuu?!

Hii lugha ni ya mkoa gani wakuu?!

mpenda arage

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
1,677
Reaction score
3,806
Tangu niitazame hii video, nimejikuta nikitamani kujua hii lugha aliyoitumia muimbaji. Na ana maanisha nini kwenye huo wimbo?! Ni hayo tu, natanguliza shukrani!
 
Hebu acha ujana basi, hiyo sauti unaisikia mwenyewe au..?
 
Wanaitwa wabia, wanapatikana maeneo ya serengeti, kijiji kinaitwa lager. Wapo pia kilimanjaro kijiji cha premium.
 
Wa lugaluga ndo hao sasa mkuu, anaimba kwa biti ya msuzi yaani mjambo
 
Back
Top Bottom