Je, huu ni mti wa mlonge?

Je, huu ni mti wa mlonge?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,575
Reaction score
14,336
Wakuu kuna mti hapa nyumbani baadhi wanasema ni mti wa mlonge.
Nataka kujiridhisha hapa kupitia kwa wenye uzoefu na mti huu.

Je huu ni mti wa mlonge au ni mti gani?
20190331_132121.jpeg
20190331_132117.jpeg
20190331_132200.jpeg


Wema ni akiba.
 
huo ni mti familia ya mimosaceae.
mlonge upo familia ya moringaceae sifa zake ni
una mbegu ndefu zaidi, majani ni madogo mno.
1075397
 
Back
Top Bottom