Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi karibuni kama miezi miwili au mmoja na nusu , kuna lorry la la futi arobaini lilipakia matofali usiku toka ktk huo mradi unaosimamiwa na TBA, jambo la kujiuliza , uhamishaji huo ulikuwa na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Naona kitambulisho cha Taifa kimeshika hatamu kila sehemu kinahitajika KUPATA AJIRA KUPATA PASS YA KUSAFIRIA KUFUNGUA KAMPUNI USAJILI WA LAINI ZA SIMU Lakini cha ajabu katika kupiga kura ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiukweli inakera sana na sijui viongozi wa serikali ya mtaa wanalionaje hili.kila mvua ikinyeesha tu kidogo wadau wa huu mtaa hutapisha vyoo vyao na hii hupelekea harufu kali sana kupenya kwenye...
0 Reactions
4 Replies
832 Views
Nishee na nyinyi hii, japo sio muandishi mzuri lakini nitajitahidi nifupishe nieleweke. Mwaka jana nikiwa Zambia,kuna rafiki yangu alikwama katika biashara zake,katika kuhangaika kutafuta...
7 Reactions
63 Replies
9K Views
The International Democrat Union (IDU) is concerned about the latest development in Tanzania. On Friday, February 22nd, 2019, the Government of Tanzania gazetted amendments of the Political...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Kuna Video Nimeiona Ameituma Mchungaji Mashimo Akilalamika Kwamba Wanafunzi Wanaosoma Shule Za Kata Huko Maeneo Ya Mbezi Hawaendi Shule Wanaenda Wanakaa Kwenye Vijiwe Wanasubilia Mda Uishe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Kilimo iwawezeshe watafiti katika kituo cha utafiti cha zao la michikichi cha Kihinga mkoani Kigoma, ili waongeze kasi ya uzalishaji wa mbegu bora...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi haiwezekani kutengeneza kifaa ambacho ukikiwasha tu kinaleta giza? Kama vile taa ukiiwasha si inaondoa giza unaleta mwanga!!! Yaani ikiwa saa sita mchana unataka zako kulala mf...unakiwasha...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Kutokana na agizo usajili wa laini za simu kwa kutumia Alama mwili, binafsi nangoja kufungiwa tu na kuanza maisha mapya ya bila mawasiliano ya hand set. Naona zoezi hii kiimani zaidi, Naliona...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa kliniki ya macho ya Karibu Eye Center, Abdillah Dada amezungumzia athari zinazoweza kujitokeza kwa watumiaji wa vifaa vya mawasiliano ikiwamo kompyuta, simu, tableti.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Muujiza huu ulifanyika mwanzoni mwa karne ya saba, wakati mtawa wa Basilia alipokuwa akisoma Misa. Baada ya kubariki mkate na divai, alianza kuona mashaka kama kweli katika kalisi ile na mkate ule...
6 Reactions
15 Replies
7K Views
Habari za mchana wakuu! Nasikia kuna askari amejifyatulia mtutu na kujimyself hapo Bank ya Access Kahama... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
197 Replies
24K Views
Wakuu naombeni ushauri, Kuna mdosi ameniajiri kwenye kampuni yake kwa miaka kadhaa na kama mjuavyo hali ya maisha kadiri siku zinavyoenda inakuwa ngumu mwelekeo siujui na kuacha siwezi ni hivi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni utaratibu gan sahihi kufuatwa wakati wa kununua gari kutoka mikononi mwa mtu ama kama unataka kumuuzia mtu gar? Na maanisha mkataba ni lazima ufanywe chini ya usimamiz wa mwanasheria ama...
1 Reactions
17 Replies
18K Views
Wadau, Kuna tetesi, baadhi ya waandishi wa habari ambao wanachapisha taarifa za uongo kutoka kwa wanasiasa watawajibishwa kwa mujibu wa sheria hapa Tanzania Taarifa hizo ni zile ambazo...
0 Reactions
141 Replies
14K Views
Wakuu habari zenu Jana Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi...
34 Reactions
212 Replies
23K Views
Polisi katika Kaunti ya Migori wamesema wamepata nyeti za mwanamume wa miaka 31 aliyevamiwa na uume wake kunyofolewa na watu wasiojulikana mnamo Aprili 13. Tukio hili la kushangaza lilitokea eneo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ujenzi wa Terminal 3 katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) unakaribia kukamilika, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamuru Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania (TAA)...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Na Bakari Chijumba, Mtwara. Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara katika operesheni inayoendelea wamewakamata watuhumiwa 21, wanaojihusisha na matukio ya uhalifu ikiwemo uvunjaji wa nyumba na wizi wa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Kamanda wa Polisi viwanja vya ndege Tanzania, ACP Jeremiah Shila amefunguka kuhusiana na tukio la kumkamata abiria aitwaye Linda Mazure, raia wa Latvia (22) mwenye hati ya kusafiria namba...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…