Ngoja na mimi niulize ujinga.

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
1,894
2,000
Hivi haiwezekani kutengeneza kifaa ambacho ukikiwasha tu kinaleta giza?

Kama vile taa ukiiwasha si inaondoa giza unaleta mwanga!!!

Yaani ikiwa saa sita mchana unataka zako kulala mf...unakiwasha tu kinaondoa mwanga wote panabaki na giza totoro,ukikizima mwanga unarudi.

Yaani kwa kifupi hakuwezi kuwa na taa inayowaka mwanga mweusi(ingawa weusi siyo mwanga)...ila hapa nadhani itaeleweka zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lamsheku

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
207
500

Mkuu umenikumbusha nikiwa shule hii mada yako kuna mdau aliwahi kuileta darasani. Au ni wewe umeamua kuileta hapa jf ilikua mwaka 2007 huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,598
2,000
Mkuu unapaswa kuelewa kwanza maana ya giza, giza ni kutokuwepo kwa mwanga (absence of light). Hivyo ukitaka kuleta giza unapaswa kuondoa chanzo cha mwanga, kwa mazingira ya nje inamaanisha uliondoe jua (kitu ambacho hakiwezekani), au ujikinge mwanga wa jua usikufikie (tengeneza chumba kisicho na madirisha)
 
TAJIRI MSOMI

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
405
500
Hivi haiwezekani kutengeneza kifaa ambacho ukikiwasha tu kinaleta giza?

Kama vile taa ukiiwasha si inaondoa giza unaleta mwanga!!!

Yaani ikiwa saa sita mchana unataka zako kulala mf...unakiwasha tu kinaondoa mwanga wote panabaki na giza totoro,ukikizima mwanga unarudi.

Yaani kwa kifupi hakuwezi kuwa na taa inayowaka mwanga mweusi(ingawa weusi siyo mwanga)...ila hapa nadhani itaeleweka zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana, safi sana kufikiria nje ya Box
 
Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
1,894
2,000
Mkuu unapaswa kuelewa kwanza maana ya giza, giza ni kutokuwepo kwa mwanga (absence of light). Hivyo ukitaka kuleta giza unapaswa kuondoa chanzo cha mwanga, kwa mazingira ya nje inamaanisha uliondoe jua (kitu ambacho hakiwezekani), au ujikinge mwanga wa jua usikufikie (tengeneza chumba kisicho na madirisha)
Usiseme haiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgugu

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
2,154
2,000
Mkuu hilo swali uliuliza sio la kijinga hata kidogo, ila linaonyesha kua unauwezo mkubwa wa kufikiri.
Mimi ni miongoni mwa watu wanaopata shida sana kupata usingizi sehemu yenye mwanga, hata usiku wakati wa kulala japokua ni giza lakini hua siwezi kupata usingizi mpaka nijifunike kitu machoni.

Maendeleo hayana chama
 
Translator

JF-Expert Member
May 19, 2017
285
500
Hivi haiwezekani kutengeneza kifaa ambacho ukikiwasha tu kinaleta giza?

Kama vile taa ukiiwasha si inaondoa giza unaleta mwanga!!!

Yaani ikiwa saa sita mchana unataka zako kulala mf...unakiwasha tu kinaondoa mwanga wote panabaki na giza totoro,ukikizima mwanga unarudi.

Yaani kwa kifupi hakuwezi kuwa na taa inayowaka mwanga mweusi(ingawa weusi siyo mwanga)...ila hapa nadhani itaeleweka zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka hadi basi :D:D
Ila hongera kwa swali zuri sana fikirishi.
 
kabatimpya

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
232
250
Hili sio swali la kijinga kama unavyosema.linahitaji kupata utaalam wa kutosha.maana kukiwa na giza kimetengenezwa toch au balbu,kandili na koroboi sasa kitafutwe chombo kama kicho ili tupate GIZA.MADA IPO MEZANI Wana jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom