Wanafunzi Wa Shule za Kata Maeneo Ya Mbezi Hawaendi

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
1,278
1,553
Wakuu Kuna Video Nimeiona Ameituma Mchungaji Mashimo Akilalamika Kwamba Wanafunzi Wanaosoma Shule Za Kata Huko Maeneo Ya Mbezi Hawaendi Shule Wanaenda Wanakaa Kwenye Vijiwe Wanasubilia Mda Uishe Warudi Nyumbani.

Nchi hii kazi IPO! Vijana wetu hawajitambui kabisa. Ila kunahitajika ushirikiano Kati ya shule, wazazi na jamii. Mchungaji katimiza wajibu wake Kama mwanajamii.
 
Wanafunzi wa dar kutwa nzima wapo barabarani.. Mimi huwa najiuliza wanakaa saa ngapi darasani?
 
Wazazi wanatakiwa wafatilie maendeleo ya watoto wao shule,tabia mzazi akimpeleka mtoto shule January imetoka hiyo labla aitwe shule kwa tatizo.
 
Back
Top Bottom