Usajili laini za simu na maisha ya kale

Usajili laini za simu na maisha ya kale

Diesel generator

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
706
Reaction score
663
Kutokana na agizo usajili wa laini za simu kwa kutumia Alama mwili, binafsi nangoja kufungiwa tu na kuanza maisha mapya ya bila mawasiliano ya hand set.

Naona zoezi hii kiimani zaidi, Naliona kama no maandalizi ya namba 666 laini pings kristo. Maandalizi ya chapa ya mnyama.

Kutakuwa hakuna kununua au kuuza bila chapa!. Wakisha nisajili si ndio chapa! itakayofatia siku moja Banda ya usajili itakuwa kupandikizwa chip mwilini ili kumonitor kila mtu muda wowote.Narudi shamba kwa maandalizi ya kuishi kwa Kula ninachozalisha.

Hivyo marafiki mtanipata manually. Haya ndio maisha mapya ninayojiandaa kuishi.kuilinda na kuitetea imani ya kristo hata kifo. Mtego huu naanza kupishana nao.
 
hahah duh,hatari siku hizi kumekuwa na utapeli mwingi kupitia laini za simu nadhani lengo lao siyo baya
 
Utaambiwa hauruhusiwi kulima kama hauna hio chapa![emoji23][emoji23]
 
Kutokana na agizo USAJILI WA LAINI ZA SIMU kwa kutumia Alama mwili, binafsi nangoja kufungiwa tu NA kuanza MAISHA MAPYA ya bila mawasiliano ya hand set. Naona zoezi hii kiimani zaidi, Naliona kama no maandalizi ya namba 666 laini pings kristo. Maandalizi ya chapa ya mnyama. Kutakuwa hakuna kununua au kuuza bila chapa!. Wakisha nisajili si ndio chapa! itakayofatia siku moja Banda ya usajili itakuwa kupandikizwa chip mwilini ili kumonitor kila mtu muda wowote.naludi shamba kwa maandalizi ya kuishi kwa Kula ninachozalisha. Hivyo marafiki mtanipata manually. Haya ndio MAISHA MAPYA ninayojiandaa kuishi.kuilinda na kuitetea imani ya kristo hata kifo. Mtego huu naanza kupishana nao.
Kwaio hautakuwepo jamii forums
 
Ndio maana natoa taarifa wakisha funga laini humu hatutaonana tena! Naanza safari mapya na ngumu, ya taabu Shida maangaiko, mateso! Safari ya kuitetea,kuilinda imani . Ili atakaevumilia hata mwisho atavishwa taji.
 
Ndio maana natoa taarifa wakisha funga laini humu hatutaonana tena! Naanza safari mapya na ngumu, ya taabu Shida maangaiko, mateso! Safari ya kuitetea,kuilinda imani . Ili atakaevumilia hata mwisho atavishwa taji.
Amen mtumishi
 
Sishauli mtu main fine ili mimi binafsi. Hakuna dalili za mwisho ambazo azijatokea nilingoja hii tu. NA n aona naanza. Mungu akujalieni macho ya Rohoni. Sio ayo ya mwilini ya damu na nyama.
 
Back
Top Bottom