Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

nadhani itakuwa ngumu kunielewa ila ndo ukweli! mke wa rafiki yetu chimbambazi! amemsaliti mmewe akaenda kutembea na mme wa mtu mwenye mme kajua na kumwendea kwa sangoma pale SUMBAWANGA .yani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MOSHI JUMLA ya Mashahidi 34 wanatarajia kutoa ushahidi katika shauri la mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Scholastica iliyopo Himo,Humphrey Makundi. Mbali na Mashahidi...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Ndugu, habarini za asubuhi, naomba kufahamu namna ya kuagiza mzigo kwa kutumia hawa DHL kwenda mikoani ( procedures zao pamoja na ghamara ) Natanguiza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji gari za kukodi kwa matumizi binafsi kwa mwanza? Nani mwenye kujua kampuni yoyote labda tusaidiane wadau?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Ngeleja azua tafrani ATM NI BAADA YA KUTAKIWA AWAPISHE WATEJA Sadick Mtulya WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja, juzi alizua tafrani kwenye mashine ya kuchukulia fedha (ATM) ya...
0 Reactions
384 Replies
38K Views
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)jaribuni kufuatilia utendaji wa kazi wa wahudumu kwa wateja mikoa ya IRINGA na MBEYA mjionee hali ilivyo upigaji unaofanywa kwa wateja wanaohitaji huduma...
0 Reactions
3 Replies
917 Views
Huu utaratibu mpya wa kujisajili upya tena kwa kitambulisho kimoja tu cha taifa ni janga. Tatizo sio hizo finger prints tatizo Ni aina ya kitambulisho kinachotakiwa. Kama nia yenu ni kuongeza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu, salaam. Binafsi nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa zawadi ya uhai. Nilibahatika kukutana na video niliyoambatanisha na ilinikwaza nafsi yangu mpaka nikafikia kuandika humu...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanasemaa kabla ya kuporomoka na kutengeneza ile crater mlima ngororongoro ulikuwa na Urefu wa kati ya mita 4500-5800. kilimanjaro una 5889. Kilichotokea ni kwamba Volcano ililipuka kwa mara ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukristo na uislam zote hizi zinaitwa Abrahimic religions. Najaribu kufikiri Adam,Hawa,Nuhu,Musa,Ayubu,Yusufu, Isaka,Ismail,Daudi,Selemani.Issa bin Mariam (YESU) Wote hawa wako pande zote za dini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salary out naona wametoa mapema tutumie kwa makini
0 Reactions
3 Replies
837 Views
Hakuna mtu anayeitakia mema nchi yetu atakayekataa kwamba elimu yetu ina matatizo,tena matatizo makubwa. Visababishi vya matatizo hayo ni vingi,lakini kimoja wapo, tena cha msingi kabisa,ni...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Tangu asubuhi nimeshindwa kuhamisha fedha zangu kutoka akaunti yangu ya CRDB na kuja kwenye namba yangu ya Mpesa ili nifanye matumizi kwa ajili ya Pasaka. Ikumbukwe kuwa nimeenda kijijini na huko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimehitimu hiyo degree mwaka jana mwez wa7. Nilipokua chuo nilioa kabisaaaa, sasa bumu sinilikua nalo bwana na home kwetu walikua wananitumia za matumizi kila mwezi. Nimemaliza chuo ndio nikauona...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi Ni nani huwa anakagua ubora wa huduma zinazotolewa katika hizi Day Care centres zinazoibuka kama uyoga kwa sababu ya wazazi kukimbia wajibu wao kwa kisingizio cha u-busy wa kutafuta riziki?
2 Reactions
4 Replies
837 Views
Naomba nianze na hili Nadhani kuna kitu ambacho madereva wa mwendokasi hawajui au waliaminishwa nje ya sheria na katiba! Ila nasikitika wamekuwa wakifanya ajali za makusudi bila wao kuwa hatiani...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Wapendwa mbarikiwe na Bwana. Leo ni ijumaa kuu,na jamii your ya wakristo duniani wanaadhimisha mateso ya Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo.Tunapoendelea kutakiana amani ninawiwa kuwa kumbusha...
0 Reactions
7 Replies
761 Views
Naomba kujua faida za kutoboa toboa mwili kwa kuuchanja chale mwilini hii ni baada ya kutembea Mikoa hasa ya Kigoma, Shinyanga, Rukwa pamoja na Tabora. Kwa utafiti wangu wa muda mfupi kwenye mikoa...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Si mara ya kwanza kusikia mwito wa kututaka kwenda kusajiri line zetu za simu.. Zoezi hili lilishafanyika na tukaaminishwa hakutakua tena na wizi, matusi au uhalifu mwingine wowote lakini wizi na...
0 Reactions
5 Replies
836 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…