Tanga mpaka leo hakuna mvua hata kidogo. Tulisikia na kusoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa kimbunga kilichotokea Msumbiji, Angola na Zimbabwe ndicho kimevuruga pepo za mvua ambazo zingelikuja mwambao wa Tanzania.
Swali: mbona Dar, Mtwara, Lindi mvua zipo LAKINI Tanga hakuna. Ina maana kimbunga hicho kimechagua Tanga tu kuchepua pepo ambazo zingelileta mvua?
Swali: mbona Dar, Mtwara, Lindi mvua zipo LAKINI Tanga hakuna. Ina maana kimbunga hicho kimechagua Tanga tu kuchepua pepo ambazo zingelileta mvua?