Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Haka kajamaa kana sauti fulani hivi amazing ya kikekike. Shida sasa anaposofiwa huwa anazidi sana kubana koo lake.
Anapenda sana kwaya zenye wanawake watupu hasa waKiroma. Anapenda sana kuhoji ama kudeal na upande wa +ke tu.Mfuatilie tu vipindi vyake utamuona anavyopenda kujikweza mno.
Happy Easter!