nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
yaani huko hadi kuna wakuu wa wilaya wanahangaika kufanyia kazi ile kauli iliyosema.NYIE WA KASKAZINI MAENDELEO YAMETOSHA NI ZAMU YA KUSINI,NYIE SUBIRINI..he njemba zikakaza za huko mwika zikachanga mamilioni kujenga barabara,mkuu wa wilaya nazuia,huko siha ni vituko wafanyabiashara wanakimbia sababu ya vituko vya mkuu wa wilaya,hadhi ya jiji imenyimwa tumeambiwa tusahau eti
SASA MSHINDWE KWA JINA LA JEHOVAH PALE KUNA BARAKA KUBWA SANA TOKA MBINGUNI
Mfalme suleimani a.k.a solomon alikuwa na busara sana alizopewa na Mungu basi wengi duniani walisafiri kwenda kuchota hekima zake mmojawapo ni mwanamama MALKIA WA SHEBA toka Ethiopia au Cush.Alipofika Jerusalem wakapendana na mfalme solomon wakafanya sex ,mwanamama akarudi Ethiopia na mimba yake lakini jamaa alimpa zawadi nyingi sana ikiwemo pete.
Mtoto alizaliwa akaitwa Menelik au Ibn Malik kwa kiarabu,menelik alisafiri hadi jerusalem kumsalimu baba yake ambaye inasemekana walikuwa wamefana sana ingawa dogo alikuwa ni chotara,baba alifurahi sana alipomuona Menelik kavaa ile pete aliyompa Malkia wa Sheba yaani mama yake.
Legends za ki ethiopia zinadai Menelik alipewa AGANO LA AHADI na Mfalme solomoni akalipeleka Ethiopia ,wengine wanadai aliliiba na kumsononesha sana baba yake maaaana lililmaanisha big deal kwa waisrael
Hata leo hii kuna madai kwamba hilo ARK OF CONVENANT lipo Ethiopia
Legends hizo za Kiethiopia zinadai wakati fulani Menelik alipotea njia na kutokezea Mlima kilimanjaro,kumbuka hii ni story ya miaka 3000 iliyopita,baridi ilimzidia akaumwa na kufariki huko mlimani akazikwa na wasaidizi wake,legends hizo za ki ethiopia zinadai atakayefanikiwa kuupata mwili wa Mwana mfalme huyo na kuipata ile pete ya mfalme solomon na kuivaa atakuwa na hekima kama za suleiman na nguvu kama za menelik
kwa wale wanaobisha zaidi,ni kwamba story za mlima kilimanjaro zilishaandikwa tangu karne ya pili yaani second century kbala hajazaliwa Yesu,ziliandikwa na mwanafalsfa aitwaye PLOTEMY ambaye inaaminika alizijulia kutokana na maandiko ya wamisri haswa pharao Hashesput
NARUDIA TENA,PETE BADO IPO KULE JUU,ENDELEENI NA MACHUKI YENU YANA BOUNCE TU ||||||||||||||