Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MKAZI wa Mji Mdogo wa Sirari tarafa ya Inchugu, wilayani Tarime mkoani Mara, Charles Mkono (26) ameuawa kwa kisu wakati wa usiku wa mkesha wa Pasaka. Imeelezwa kuwa mtu huyo alichomwa kisu...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Huyu mwingine anayejiita mwajiri mkuu ameisha ota mapembe, na huku uraiani tukilalamika lawama kwetu eti sisi ndo tunawapa ushindi wa bure. Kiukweli maumivu tunayopitia mungu ndo anajua, haki...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika watu wanaokula nchi vizuri kwenye upande wa magari serikalini nadhani ni huyu mtu Tofauti kabisa na ma-RC wengine, huyu kijana wa kolomije naona gpsa wamempendelea sana. Pasaka njema
5 Reactions
90 Replies
19K Views
Nimekuwa napata shida kidogo kutokana na maoni ya watu kuhusu hotuba ya Rais alipokutana na wadau wa mifuko ya hifadhi ya jamii, vyama vya wafanyakazi na wengineo. Katika hotuba hiyo, Rais...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi tunaomba suala la maslahi ya wafanyakazi liangaliwe kwa jicho la tatu!! Malengo mengi ya serikali hayatafanyika kwa ufanisi. Pia rushwa na ufisadi havitakoma iwapo watumishi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kelele za akina Sugu na wabunge wenzake wa upinzani kuhusu nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi wa uma hatimae JIWE amekubali kubadili "gea" angani...Ikumbukwe kuwa hakukuwa na fungu au...
2 Reactions
21 Replies
48K Views
'UTALII WA NDANI': Hapa ni nyumbani kwa Nuru Lugina, almaarufu ‘Mzee wa Mapangoni. Kwa miaka kadhaaa, Lugina na familia yake wamekuwa wakiishi kwenye pango hili linalokadiriwa kuwa na urefu wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari ya mapumziko wana JF... Muda mchache uliopita nimetoka pharmacy kununua dawa za nyumbani,kwa utaratibu nikiojiwekea lazima nyumbani pasikose pain killers ,magnesium,flagyl,plasta etc kwa...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
WATANZANIA wametahadharishwa kuhusu matatizo ya macho na wametakiwa kujiepusha na mambo yanayosababisha ubovu wa viungo hivyo muhimu. Wito huo umetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Moshi/Mwanga. Matukio ya watuhumiwa kuuawa wakiwa mikononi mwa polisi yanaendelea kulitikisa jeshi hilo la polisi baada ya kijana aitwaye Waziri Mlacha (18), kudaiwa kuuawa akiwa mikononi mwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko, ameziagiza kampuni zote za kuchenjua na kuchoma dhahabu katika wilaya za Songwe, mkoani Songwe na Chunya mkoani Mbeya, kusitisha kwa muda usiojulikana shughuli...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MADINI ya vito yenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 363 yamekamatwa katika mashine za kukagulia mizigo ya mpakani mwa Tanzania na Kenya, katika forodha ya Namanga kati ya Februari na Machi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa yoyote anayeweza kufahamu jinsi ya kupata salary slip ya miaka ya nyuma kuanzia 2016 kurudi nyuma huko kabla ya kubadili mfumo na kuja huu wa sasa, maana...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Naelekea moja kwa moja kwenye Mara Hotuba ya Raisi JPM wakati akifuta kikokotoo aligusia kuhusu fao la kujitoa. Akatolea mfano wa wafanyakazi wanaoshiriki mradi wa Ujenzi ambao unadumu kwa miaka...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
habari yenu wanajukwa, MM ni Mtumishi huku wilaya ya monduli=Arusha ninamwaka mmoja huku ila nimeona kunafurusa especially kwa kupitia Jamii ya huku (maasai) naona kuna vitu vingi unaweza fanya...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Mimi ni mwananchi, mfanyabiashara naishi Mbagala jijini DSM katika Wilaya ya Temeke. Leo tarehe 19/04/2019 majira ya saa nne asubuhi ndani ya kituo cha Polisi cha Maturubai, Mbagala...
17 Reactions
168 Replies
18K Views
Naomba kuuliza je, kuna awamu ya mabasi ya mwendokasi barabara ya Bagamoyo? Kama ndio je, hili daraja la ghali kabisa lililojengwa kituo cha Bondeni karibu na njia panda ya Kawe linaendana na...
8 Reactions
71 Replies
10K Views
Wakuu, nafadhaishwa mno na mwenendo wa kampuni ya simu ya umma hapa nchini TTCL siku hizi. Mie ni mteja wao kwa muda mrefu na nimekuwa na tabia ya kujiunga na bando la wiki la 'internet' la 1GB...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza niwape pole wale wote waliofikwa na msiba jana huko Arusha. Kuna aina nyingi za kujifunza kitu, mojawapo ni kujifunza kwa maumivu makali, learning in the hard way. Lazima tukubaliane kua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom