MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,125
Wakuu habari za pasaka, naona kuna wingu kubwa la mvua hapa Dar, naomba tupeane habari ya kitakachokea hapa kwenye uzi huu, pasaka njema
Hata kapicha mkuu utupiako? Its just aseasy as abcd... Or as to wink.Wakuu habari za pasaka, naona kuna wingu kubwa la mvua hapa Dar, naomba tupeane habari ya kitakachokea hapa kwenye uzi huu, pasaka njema
Pole kwa kuwa tandahimbaSawa,hongera Kwa kuwa Dar Sie tupo Tandahimba huku
Ngoja waje wagalatia watatuambiaKwani pasaka ina siku maalum?
Nifate hapa dangote chaapuSawa,hongera Kwa kuwa Dar Sie tupo Tandahimba huku
Pole kwa kuwa tandahimba
Ukijibiwa nistueKwani kuwa huku ni ugonjwa mkuu?
Mkuu kwani kuwa Dar ni ujanja?Kwani kuwa huku ni ugonjwa mkuu?
HahahahaaaNifate hapa dangote chaapu
Mkuu kwani kuwa Dar ni mafanikio?Ukijibiwa nistue
HahahahahahahHahahahaaa