jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,128
- 8,648
Habarini wapendwa,kila mmoja wetu anajua kuwa serikali mpka 2020 itakuwa imeshahamia mjii mkuu wa dodoma huku ikiacha maswali ya kwanini serikali ihamie dodoma na kuacha mji mzuri na wakisasa dar es salaam?
Ukweli ni kwamba serikali ya awamu ya awamu ya tano imeamua kuondoka Dar es salaam na kuhamia Dodoma ikiwa ni kujiimarisha kiutawala na hata kimaamuzi katika ngazi ya taifa na hata kimataifa.Nchi nyingi za afrika zilipata uhuru kutoka kwa wakoloni na wakoloni kurudi makwao huku wakiacha hazina za mali ambazo watazimiliki hadi mwisho wa dunia,
Assets hizo ambazo nyingi ni majengo na ardhi kubwa,kupitia ardhi hizo na majengo hayo serikali nyingi za mabepari zimejikuta zikitutawala na hata kutofanya tulipe mamilioni ya kodi kwa ajili ya hizo assets.
Majengo mengi ya serikali ni mali za hawa mabepari,hivyo maeneo mengi nyeti wameyamiliki wao huku hati zao zikiwa zipo vatcan kwa papa kwa wale walotawaliwa na waingereza,hope hapa unaweza kupata picha kuwa ikulu ya waingereza ndiyo ikulu yetu ya leo hivyo,hata hati yake ipo vatcan kwa papa.
Huenda hata baadhi ya ikulu nyingine za afrika zikawa zinamilikiwa na hawa mabepari hivyo kufanya serikali hizo kuongozwa vile watakavyo wakubwa.
Hivyo kuona hilo mzee wa magogoni akaamua awaachie jumba lao huku akitawala kwa uhuru na kwa mamlaka yote kama raisi wa nchi na siyo mtumwa wa mabwana wakubwa.
Viva magufuli