kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,991
- 17,888
Baada ya wawekezaji wa kigeni kuzingua juu ya ukwepaji wa kodi na utoroshaji wa rasilimali kama makinikia serikali ya Rwanda inatarajia kuja kuwekeza Tanzania katika sekta ya madini
Ni jambo jema na kutia moyo kuona waafrika wenzetu na jirani zetu wanakuja kuwekeza
Huu ni wakati wetu sisi waafrika kujiendeleza sisi kama sisi baina ya nchi na nchi
Na kupitia hivyo utaratibu umeshaanza na serikali ya rwanda inatarajiwa kuwekeza kwenye migodi 18 ya mwanzo kama makubaliano ya mwanzo
Na uzuri ni kuwa tutapata kodi ya kutosha na kunufaika vya kutosha
My take:
Tujitahidi sana wawe wanalipa kodi ya kutosha na sisi tufaidike na pia kama itawezekana serikali ya tanzania iingie ubia na serikali yetu iwekeze kwenye migodi yote ya tanzania ambayo inaonekana inasua sua
Na hili litatufanya tunufaike mno kiuchumi