Dunia ina mambo

meghan markle

JF-Expert Member
May 22, 2018
483
1,166
Habari ya mapumziko wana JF...
Muda mchache uliopita nimetoka pharmacy kununua dawa za nyumbani,kwa utaratibu nikiojiwekea lazima nyumbani pasikose pain killers ,magnesium,flagyl,plasta etc kwa kifupi vitu cha huduma ya kwanza.
Nikiwa hapo pharmacy nikawa nabadilishana mawili matatu na kaka (pharmacist )wa hapo kwasabu tunafahamiana (wakunyumba).Wakaja wababa wawili kwa awamu mbili yani walipishana.Alivyokuja wa kwanza akamsalimia bila kuongea kaka akaingia ndani akatoka na dawa sikuziona akampatia yule baba akanywa kisha akaaga. Baada ya dk chache akaja mwingine kijana tu akasalimia pale kwa kutuchangamkia na yeye akapatiwa dawa na maji akanywa zake akasepa.
Nikamuuliza kaka kiutani "jamani dawa unatoa kwa upendeleo mbona nimekaa hapa muda wote hujanipa hata panadol" Akaguna tu akaniambia mdg wangu shukuru mungu huhitaji dawa ili uonekane una afya...watu wanaogopa kuvunja nyumba zao dawa wananywea pharmacy.Nikawa sijaelewa ,akasema yani siku hizi watu hawataki kukaa na dawa nyumbani wanakuja wanakunywa wanaenda af akacheka akasema mi kikubwa wananilipa kutunza dawa zao.Yani alikua anaongea very calm as if ni kitu cha kawaida sana.
Loooh nitabaki na butwaa moyo ukanyong'onyea.
Jamani dunia ina mambo....mtu anakuua hivi hivi ARV zake anatunzia pharmacy akija home huko vizuri hujui na maisha yanaenda .
Nimetafakari nimekosa raha ukizingatia hata kisheria nahisi ni kosa ila sasa ndo hivo mtu anatafuta riziki huku wenzie wanatunza siri ktk ndoa zao.
Nawaza hapo itokee uende kupima ugundue una VVU lijamaa litakavyo kunyanyasa kumbe limeungua kitambo dawa limefichia pharmacy.
Dunia nzito sana.
Wasalam.....Meghan!
 
Duh hii kali
 
Mimi namlaani sana aliyeleta hizi dawa.
Hawa wagonjwa hawajiheshimu kabisa.
Yaani wanavyozidi kuishi ndivyo wanavyozidi kuua watu.
Ilitakiwa wafe tu maana lengo la dawa wao hawalijui.
 
Umekaa muda mrefu kana kwamba unataka kununua NDOMU ila sasa watu wakawa hawaishi kuingia hapo kwenye duka la dawa
 
Habari ya mapumziko wana JF...
Muda mchache uliopita nimetoka pharmacy kununua dawa za nyumbani,kwa utaratibu nikiojiwekea lazima nyumbani pasikose pain killers ,magnesium,flagyl,plasta etc kwa kifupi vitu cha huduma ya kwanza.
Nikiwa hapo pharmacy nikawa nabadilishana mawili matatu na kaka (pharmacist )wa hapo kwasabu tunafahamiana (wakunyumba).Wakaja wababa wawili kwa awamu mbili yani walipishana.Alivyokuja wa kwanza akamsalimia bila kuongea kaka akaingia ndani akatoka na dawa sikuziona akampatia yule baba akanywa kisha akaaga. Baada ya dk chache akaja mwingine kijana tu akasalimia pale kwa kutuchangamkia na yeye akapatiwa dawa na maji akanywa zake akasepa.
Nikamuuliza kaka kiutani "jamani dawa unatoa kwa upendeleo mbona nimekaa hapa muda wote hujanipa hata panadol" Akaguna tu akaniambia mdg wangu shukuru mungu huhitaji dawa ili uonekane una afya...watu wanaogopa kuvunja nyumba zao dawa wananywea pharmacy.Nikawa sijaelewa ,akasema yani siku hizi watu hawataki kukaa na dawa nyumbani wanakuja wanakunywa wanaenda af akacheka akasema mi kikubwa wananilipa kutunza dawa zao.Yani alikua anaongea very calm as if ni kitu cha kawaida sana.
Loooh nitabaki na butwaa moyo ukanyong'onyea.
Jamani dunia ina mambo....mtu anakuua hivi hivi ARV zake anatunzia pharmacy akija home huko vizuri hujui na maisha yanaenda .
Nimetafakari nimekosa raha ukizingatia hata kisheria nahisi ni kosa ila sasa ndo hivo mtu anatafuta riziki huku wenzie wanatunza siri ktk ndoa zao.
Nawaza hapo itokee uende kupima ugundue una VVU lijamaa litakavyo kunyanyasa kumbe limeungua kitambo dawa limefichia pharmacy.
Dunia nzito sana.
Wasalam.....Meghan!
Pasina shaka unaishi nje mji
 
Duh sasa hao ambao hunywea Pharmacy ili kuwaficha wake zao akili zimo kweli??
 
Hakuna shida yoyote maana hata uhifadhi ni mzuri kuliko nyumbani lakini anakosea kutokumwambia mwenzake status yake!!! hao ndio huwa wanamaliza mtaa mzima hata watoto wake wa kuzaa maana anammendea house girl anamla kumbe watoto wake nao wanaponea hapo mwisho wa siku mzunguko wa kifo unajaafamilia nzima
 
Kuna ndugu yangu yy huwa anachukua karatasi ya panadol anaweka ARV zake humo na anakunywa mbele yako unasema kichwa kinamuuma anatoa panadol anameza kumbe arv.
 
Habari ya mapumziko wana JF...
Muda mchache uliopita nimetoka pharmacy kununua dawa za nyumbani,kwa utaratibu nikiojiwekea lazima nyumbani pasikose pain killers ,magnesium,flagyl,plasta etc kwa kifupi vitu cha huduma ya kwanza.
Nikiwa hapo pharmacy nikawa nabadilishana mawili matatu na kaka (pharmacist )wa hapo kwasabu tunafahamiana (wakunyumba).Wakaja wababa wawili kwa awamu mbili yani walipishana.Alivyokuja wa kwanza akamsalimia bila kuongea kaka akaingia ndani akatoka na dawa sikuziona akampatia yule baba akanywa kisha akaaga. Baada ya dk chache akaja mwingine kijana tu akasalimia pale kwa kutuchangamkia na yeye akapatiwa dawa na maji akanywa zake akasepa.
Nikamuuliza kaka kiutani "jamani dawa unatoa kwa upendeleo mbona nimekaa hapa muda wote hujanipa hata panadol" Akaguna tu akaniambia mdg wangu shukuru mungu huhitaji dawa ili uonekane una afya...watu wanaogopa kuvunja nyumba zao dawa wananywea pharmacy.Nikawa sijaelewa ,akasema yani siku hizi watu hawataki kukaa na dawa nyumbani wanakuja wanakunywa wanaenda af akacheka akasema mi kikubwa wananilipa kutunza dawa zao.Yani alikua anaongea very calm as if ni kitu cha kawaida sana.
Loooh nitabaki na butwaa moyo ukanyong'onyea.
Jamani dunia ina mambo....mtu anakuua hivi hivi ARV zake anatunzia pharmacy akija home huko vizuri hujui na maisha yanaenda .
Nimetafakari nimekosa raha ukizingatia hata kisheria nahisi ni kosa ila sasa ndo hivo mtu anatafuta riziki huku wenzie wanatunza siri ktk ndoa zao.
Nawaza hapo itokee uende kupima ugundue una VVU lijamaa litakavyo kunyanyasa kumbe limeungua kitambo dawa limefichia pharmacy.
Dunia nzito sana.
Wasalam.....Meghan!
Ila kama anakula Karanga(ARV) ambukizi tena so relax.na usiwe na ofu...Juzi tu hapa JF kuna mdada alikuwa anasema kuwa kaka ake alipata mrembo mmoja wa JF ila alikuwa anakula Dawa kisiri siri wakiwa wanakula bata Bwagamoyo jamaa akashtuka na kumbamba na dawa za kuzuia makali ya HIV... ni hivi usjione mjanja na wala usifurahi maambokizo ya wengine...Ukweli familia nyingi azipo sawa..Mama yupo bize na kazi pia na baba...watoto wanalelewa na house girl na house boy.mfano sasa familia zina physical address 2 dodoma na Dar au kwingineko Baba / Mama peke yao kwa miezi 3 au 6 aiwezekani... na watoto wetu wanapevuka mapema...mama ana tembea na house boy,Baba anatembea na House Girl
.binti zetu je???Tusali na kuomba na wala wewe usijione sio sehemu ya HIV just pray and ask God to help you not to be part of TACAIDS Database..kwa akili zako na hivyo vikondomu vinavyokuziba robo ya uchi@ wako na mchana ulivaa Jeans umechubuka mapaja na baada ya bao moja unalala bila kijisafisha Usiwe na furahaaa wala usinyanyapae....🌹🌹.Kristu mfufuka atujalie huruma na upendo wa Mungu wa kweli.🙏🙏🙏
 
Ila kama anakula Karanga(ARV) ambukizi tena so relax.na usiwe na ofu...Juzi tu hapa JF kuna mdada alikuwa anasema kuwa kaka ake alipata mrembo mmoja wa JF ila alikuwa anakula Dawa kisiri siri wakiwa wanakula bata Bwagamoyo jamaa akashtuka na kumbamba na dawa za kuzuia makali ya HIV... ni hivi usjione mjanja na wala usifurahi maambokizo ya wengine...Ukweli familia nyingi azipo sawa..Mama yupo bize na kazi pia na baba...watoto wanalelewa na house girl na house boy.mfano sasa familia zina physical address 2 dodoma na Dar au kwingineko Baba / Mama peke yao kwa miezi 3 au 6 aiwezekani... na watoto wetu wanapevuka mapema...mama ana tembea na house girl,Baba anatembea na House Boy
.binti zetu je???Tusali na kuomba na wala wewe usijione sio sehemu ya HIV just pray and ask God to help you not to be part of TACAIDS..kwa akili zako na hivyo vikondomu vinavyokuziba robo ya uchi@ wako na mcha ulivaa Jeans umechubuka mapaja na baada ya bao moja unalala bila kijisafisha Usiwe na furahaaa wala usinyanyapae.....Kristu mfufuka atujalie huruma na upendo wa Mungu wa kweli.
Umeandika kwa hisia kali sana ,ukweli mtupu.Tuombe sana tusiwe sehemu ya janga hili kama bado.Tuombee na vizazi vyetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom