Hapa ni nyumbani kwa Nuru Lugina, almaarufu ‘Mzee wa Mapangon

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446
Image may contain: outdoor and nature

'UTALII WA NDANI': Hapa ni nyumbani kwa Nuru Lugina, almaarufu ‘Mzee wa Mapangoni.
Kwa miaka kadhaaa, Lugina na familia yake wamekuwa wakiishi kwenye pango hili linalokadiriwa kuwa na urefu wa zaidi ya mita 15.
Pango hili linalopatikana kijiji cha Igange, Manispaa ya Tabora, lina vyumba vinne na sebule.
Lugina hutumia umeme wa solar kutazama runinga na kupata mwanga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom