Leo niliamua kusafiri kwenda Dar kwa gari private nikasimama Bomang’ombe, Wilaya ya Hai karibia na stendi sehem inaitwa Chakula Bora ili nipate chakula kidogo, ghafla pale wanapopaki pikapu na...
Kwanza binafsi huwa "sina shobo na sikukuu"
Ila sasa msimu huu nami nikaona si vibaya japo nikienda sawa na wenzangu (Maana ukienda kivyako unaweza onekana ni mchawi)
Basi bwana, nikasema, mimi...
Kuhusu kusajiri upya simcard kwa fingerprint,
Ndugu waziri usajili huu unatutaka tuwe na vitambulosho vya nida,
Ndugu waziri wengi wetu hatuna hivyo vitambulisho na wengine hata tu kujiandikisha...
Huko zamani watu walikuwa wanaamini kwamba dunia iko tambalale kama meza. Baadae wakaja watu kama Galileo wakasema dunia ni duara. Pia watu walikuwa wanaamini jua na mwezi ndivyo vinaizunguka...
Habari wanabodi,
Rejea kichwa cha habari, tunawakaribisha wadau wote tutoe madukuduku yetu kwa mashimo na matuta ya ovyo barabarani ambayo yanavunja magari, kusababisha ajali na matatizo ya hapa...
Nakumbuka nilienda mahali flani wakati wakupiga story alitokea kijana mmoja akaja kuleta taarifa ya msiba wa mama wa mtoto niliye kua nikiongea nae,pale pale yule mama alipata presha akadondoka...
Hii ndio main objective yangu katika maisha nataka nijifunze Mambo kwa bidii mpaka niibadilishe dunia tuishi bila madawa ya hospital na bila kutumia dhamana(pesa).najua inawezekana kuifanya dunia...
Mbunge Mwakajoka: Kuna gazeti linaitwa Tanzanite,kila siku linaandika matusi na kukashifu watanzania, linaandika watu wanataka kupindua nchi n.k? Waziri uko hapa, serikali haichukui hatua zozote...
Wadau nadhani kwema,
Nisiende mbali sana,ninajua humu kuna ambao wana ufahamu na hizi mamlaka za hawa wakuu wa vyombo vya usalama kama vile Jeshi,Polisi,magereza,uhamiaji lakini hususani Jeshi la...
Watanzania tuna roho mbaya sana ya kimaskini.
Wengi waliofanikiwa ni wachoyo sana wa mbinu zao za mafanikio. Hawasemagi ukweli kabisa.
Kama alipita mashariki, atakwambia nilipita magharibi...
Nimekuwa najiuliza kwa muda sasa, hivi hii kodi wanayokatwa wafanyakazi kwenye mishahara huwa inatumika kwenye nini hasa? Kuna mtu anayejua hili? Pesa zinazokusanywa kupitia kwa wafanyakazi ni...
Polisi mkoani Manyara wamewakamata watu 2, kwa makosa ya kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya ambayo kwa Tanzania ni kinyumke cha kisheria .
Akitibitisha kukamatwa kwa madawa hayo...
Ni wiki moja tu imepita, Tulichati kwa whatsap.Tulikuwa tukicheka madakika yakapita.Sikujua Kama Ulikuwa waniaga, Umeondoka mkuu.Pumzika kwa Aman Kaka Fred,Mungu akupokee. Mpaka Sasa sielewi na...
Habari za hivi punde zinaeleza watu kadhaa wamefukiwa na kifusi katika machimbo ya molamu eneo la mushono Arusha tukio hili limethibitishwa na Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha pamoja na Mstahiki...
Wakuuu hii kero ninayoipata Kwa huku Dar nikitoka tu home popote nitakapokanyaga break tu kuna vijana wananizunguka wakitaka nilipe hela sasa hiii kitu ni kitu gani hiki? Mbona kwangu kimekuwa...
Mamlaka ya hali hewa nchini(TMA)imekanusha baadhi ya taarifa zinazojitokeza katika mitandao ya kijamii zinazodai kutakuwepo kimbunga “Keneth” kuanzia Aprili 26 hapa nchini kikitokea maeneo ya...
Tangu 2015 sijawahi kuangalia taarifa ya habar tbc. leo nilikuwa nyumbani ikabidi niangalie.ni baada ya king'amuzi kuisha mchana.ni upuuzi mtupu.
imejaa siasa . mara mwenge.mara katibu wa ccm mara...
Kama , kichwa cha habar kilivyo hapo juu
Sku kadhaa niliweka uzi humu kuhusu kuingizwa kwenye makato ya mkopo kimakosa hali ya kua hata sjawahi kabisa hata kuomba huo mkopo
Nlifanikiwa kufika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.