TTCL vipi?

TTCL vipi?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,711
Reaction score
1,738
Wakuu, nafadhaishwa mno na mwenendo wa kampuni ya simu ya umma hapa nchini TTCL siku hizi.
Mie ni mteja wao kwa muda mrefu na nimekuwa na tabia ya kujiunga na bando la wiki la 'internet' la 1GB kwa sh 3,000/=.
Hivi karibuni nimeanza kupata wasiwasi kwani haifiki wiki mara ujumbe napokea kuwa zimebaki MB50.
Wameanzisha utaratibu wa kunyofoa salio lako la kawaida ndani ya muda wa bando wakati unajua muda na bando unaendelea.
Ombi langu, rejesheni utaratibu kama bando limeisha basi sio kunyofoa salio la kawaida bila taarifa.
Jirekebisheni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm kupatakina Vocha zao ndo inanisikitisha sana...yan zikiisha mnasubiri mpaka zitumwe kwa njia ya posta...tena yaweza chukua mpaka wiki moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtandao (Network ) pia ni tatizo maeneo mengi. Tumerejea nyumbani alaf hatupewi chakula, Mkurugenzi chukua hatua. Halotel network hadi mabondeni alaf TTCL ya wazalendo inapwaya. Haiwezekani TTCL iwauzie Masafa vodacom, tigo , Halotel, airtel alaf wenyewe hakuna network. Hizi ni hujuma za mabeberu na vibaraka wao
 
Back
Top Bottom