CCM tuliwaamini tukawachagua tuongezeni mishahara

Meshe

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
398
Reaction score
512
Chama cha Mapinduzi tunaomba suala la maslahi ya wafanyakazi liangaliwe kwa jicho la tatu!!
Malengo mengi ya serikali hayatafanyika kwa ufanisi.

Pia rushwa na ufisadi havitakoma iwapo watumishi hawatakuwa na matumaini juu ya uboreshaji wa maslahi yao!!

Kitendo cha kukataa kujadili maslahi ya watumishi bungeni mmetuangusha!!!
 
Andika vizuri ili uonekane mfanyakazi .
Mliipenda wenyewe, chaguo lenu wenyewe. Soma kwanza namba halafu tarakimu zifuate ili upate ufahamu
 
Polen wakuu kwa kunyimwa haki zenu. Ni kweli mnaonewa na hamna mtetezi.

Mkuu tafuta altenatives za maisha tafuta namna nyingine ya kufanya kufix hiyo salary increment.

Think out of the box. Kuna kitu gan unaweza kukifanya ili kukuingizia hata laki moja tuu faida kwa mwezi huku ukiwa unaendelea na kazi.

Kulalamika hakuta wasaidia watumishi. Bali mjiongeze.
 
Ninyi Wa chini ndio munao teseka wajuu hakuna shida miradi mingi ikitolewa pesa haitekelezwi inapigwa juu kwa juu (hewa)
 
Ghala halina kitu ,chakula cha nyongeza kitatoka wapi.?
Endeleeni kula punje mojamoja .
Vumilieni tu.
 
Chama cha Mapinduzi tunaomba suala la maslahinya wafanyakazi liangaliwe kwa jicho la tatu!!
Malengo mengi ya serikali hayatafanyika kwa ufanisi.

Pia rushwa na ufisadi havitakoma iwapo watumishi hawatakuwa na matumaini juu ya ubireshaji wa maskahi yao!!

Kitendo cha kukataa kujadili maslahi ya watumishi bungeni mmetuangusha!!!
Kwani waliwambia watawaongeza mishahara? kiherehere chenu kimewaponza CCM mbele kwa Mbele CCM inasimamia ujenzi wa barabara,reli na ndege.
 
Nchi imefilisika brooo
Chama cha Mapinduzi tunaomba suala la maslahinya wafanyakazi liangaliwe kwa jicho la tatu!!
Malengo mengi ya serikali hayatafanyika kwa ufanisi.

Pia rushwa na ufisadi havitakoma iwapo watumishi hawatakuwa na matumaini juu ya ubireshaji wa maskahi yao!!

Kitendo cha kukataa kujadili maslahi ya watumishi bungeni mmetuangusha!!!
 
Subiri kwanza tutunishe mfuko wa chama kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi ujao, vuteni subra..
 
Polen wakuu kwa kunyimwa haki zenu. Ni kweli mnaonewa na hamna mtetezi.

Mkuu tafuta altenatives za maisha tafuta namna nyingine ya kufanya kufix hiyo salary increment.

Think out of the box. Kuna kitu gan unaweza kukifanya ili kukuingizia hata laki moja tuu faida kwa mwezi huku ukiwa unaendelea na kazi.

Kulalamika hakuta wasaidia watumishi. Bali mjiongeze.

Hivi unafikiri kutngeneza laki ukiwa mtumishi ni kitu rahisi,kwanza lazima ujue chochote utakachotaka kufanya nje ya kazi yako lazima uajiri mtu akusaidie wakati ukiwa kazi,kutokana na kutokuwa na muda wa kusimamia hiyo biashara,hapo ndio watu wengi wameishia kuachana na biashara. Kupata mtu atakekufanyia hiyo biashara upate laki halafu yeye sijui utamlipa kiasi gani! Na watu wachache ambao ni waaminifu.Ni rahisi kumwambie afikirie nje ya hilo unaloita box. wengi tulijaribu.
 
Mkuuu umesema vema. Endelea kuamini hivyo hivyo.
Hivi unafikiri kutngeneza laki ukiwa mtumishi ni kitu rahisi,kwanza lazima ujue chochote utakachotaka kufanya nje ya kazi yako lazima uajiri mtu akusaidie wakati ukiwa kazi,kutokana na kutokuwa na muda wa kusimamia hiyo biashara,hapo ndio watu wengi wameishia kuachana na biashara. Kupata mtu atakekufanyia hiyo biashara upate laki halafu yeye sijui utamlipa kiasi gani! Na watu wachache ambao ni waaminifu.Ni rahisi kumwambie afikirie nje ya hilo unaloita box. wengi tulijaribu.
 
Poleni sana...

Kwa sasa hiyo siyo kipaumbele na haipo kwenye ilani ya chama...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom