Taasisi au NGO

uhuru tech

Member
Apr 16, 2017
34
35
habari yenu wanajukwa, MM ni Mtumishi huku wilaya ya monduli=Arusha ninamwaka mmoja huku ila nimeona kunafurusa especially kwa kupitia Jamii ya huku (maasai) naona kuna vitu vingi unaweza fanya vya kusaidia Jamii hii ikapata msaada wakati huo na wewe ukawa unafaidi kwa njia moja au nyingine nimeona kuna wanaofanya na kufaidika na hilo,kwa maelezo hayo machache.naomba kama kuna mtu mwenye NGO au Taasis,au ambaye anajua ni wapi tunaweza kupata masada tukaungana ili tufanye kazi wote anipm ili tuyajenge,uenyeji wangu huku utanisaidia nikipat mtu wa kuungana pamoja
 
Back
Top Bottom