digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,574
- 2,295
Katika watu wanaokula nchi vizuri kwenye upande wa magari serikalini nadhani ni huyu mtu
Tofauti kabisa na ma-RC wengine, huyu kijana wa kolomije naona gpsa wamempendelea sana.
Pasaka njema
Tofauti kabisa na ma-RC wengine, huyu kijana wa kolomije naona gpsa wamempendelea sana.
Pasaka njema