Pana upotoshaji mkubwa kuhusiana na hizi tochi za usalama barabarani ikipelekea kuwakandamiza madereva pasipo uhalali wowote.
Si kweli kuwa camera hizi ziko fool proof na eti kuwa kila...
Una Mtoto Mdogo wa kama miaka Minne ( 4 ) na Mtu mzima ama Mzazi wako au Babu yako mwenye Umri wa miaka Sabini ( 70 ) ila bahati mbaya wote ni Wagonjwa na wapo Hoi kabisa na Wewe ndiyo unawauguza...
Ombwe la serikali kukataa kuichapisha ripoti ya IMF hivi karibuni sio jambo la kwanza kufanywa na serikali ya awamu ya tano.
Kabla ya IMF, mtakumbuka kwamba serikali ya awamu ya tano iliipa kazi...
Taarifa ikufikie tu kwamba hivi leo Wanasayansi huko nchini Kenya wametoka Kuzindua rasmi chanjo ya Ugonjwa hatari wa Ebola na inasemekana hiyo chanjo italeta manufaa na kusaidia kabisa kutokomeza...
Jana kuna rafiki yangu alinambia ana project fulani anayofanya na wa-Malaysia kwa hiyo mimi kama rafiki yake kipenzi angependa tu-shee hii fursa.
Nlipojaribu kumdodosa ni aina gani hiyo ya...
KUNA MAISHA BAADA YA FURAHA DOH
ZAMANI UKISIKIA OFFER ZA GAME UNAWAHI ASBH UNAJAZA GARI YAKO MZIGO WA MAANA
LEOO HII UKIPEWA GAZETI ZAOO ZA OFFER USOME UANGALII MARAMBILI
ZILE BEI ZIMEENDA WAPI...
Haijalishi mtu uwe unalipwa million ngapi;
lakini hebu tuambizane ukweli hapa kwanini hizi pesa almaarufu chai (mvugulio) huwa ni tamu sana hata kama ni kidogo!?
Mi mwenzenu nikipewa hizi pesa...
Habari wanajamvi,
Kama bandiko linavyojieleza hapo juu,
Ni katika pitapita zangu za pasaka hapo jana nikabahatika kuokota kisimu kidogo aina ya tekno laini mbili
Kwa haraka haraka bila shaka...
Nitangulize samahan na kukiri kwamba siingilii kubeza wala kudharau Uhuru wa kujieleza kutoa maoni au mtazamo.
Sipo kinyume na ukosoaji wala siingilii fikra binafsi za mtu,
--/--
Naendelea...
Ni kwamba nimesoma LAW OF INSURANCE, na wale waliosoma sheria kama kuna sehemu sitaenda sawa, watanirekebisha katika hili.
Mimi siyo mwanachama wa mfuko huu, na kilichonisababisha nisijiunge ni...
Habari wadau natumaini ni wazima was afya
Labda ningeenda moja kwa moja katika mada
Najua kuna wadau wengi wanatumia huduma huduma ya tigopesa leo nitazungumzia suala la kufungiwa huduma ya tigo...
Kwa mtizamo wangu uchumi wetu utaendelea kushuka kutokana na sera za 'uchumi wa vitu' tunazozifuata kwa sasa.
ili uchumi ukue unahitaji kwa kila sekita namba ya watumiaji wa huduma husika ianzie...
Wadau inasikitisha sana kusikia Wazee Wastaafu hawajalipwa Mafao yao toka walipostaafu Julai 2018.
Huu ni Mwezi wa 9 wamekuwa wanasotea Mafao yao lakini bado hawajalipwa, hebu tujiulize Wazee...
Tunataka kuifanya nchi kufikia uchumi wa kati kwa kuboresha huduma za jamii,kujenga viwanda vya kutosha pamoja na kuzalisha wasomi wa kutosha kwa kila fani.
Lakini bado Leo hii pamoja na Elimu...
Ndugu zangu naombeni msaada wenu kidogo hapa, leo nmeota nagombana na kikundi cha watu, baada ya kugombana sana tukajikuta wote tupo pembeni kila mmoja anaambiwa aruke ndani ya shimo hilo, ni refu...
Na Edo Kumwembe
NILIWASILI katika mji wa Genk jioni moja ya Mwezi Machi mwaka jana. Baridi ilikuwa inaondoka Ulaya lakini kwa ngozi iliyotoka Tanzania ni wazi kwamba baridi ilikuwa kali...
[emoji1241][emoji1241]Na BWANKU M BWANKU
*RIPOTI YA CAG INACHEFUA.*
Jana Ofisi ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Mzalendo Prof Mussa Assad ilitoa ripoti yake ya ukaguzi wa maeneo...
Kuna hii meseji inatembea kwenye groups mbalimbali za whatsapp, Je kuna ukweli?
Kwa wale wote wanaotumia huduma za kifedha kama M pesa, Tigo pesa etc
na kama kuna mtu ameweka kipesa chakr ktk...
yeremia 9:23 Bwana asema hivi, Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwa sababu ya utajiri wake;
yakobo...