Nimeokota simu ila ninaapa sitamrudishia mwenyewe

MUSHEKY

JF-Expert Member
May 9, 2014
2,812
2,753
Habari wanajamvi,

Kama bandiko linavyojieleza hapo juu,

Ni katika pitapita zangu za pasaka hapo jana nikabahatika kuokota kisimu kidogo aina ya tekno laini mbili

Kwa haraka haraka bila shaka simu hii ni mali ya kijana wa bodaboda hasa wale wanaosuka vijirasta au kijana mwingine mtukutu,

hii ni kutokana na maudhui yaliyomo kwenye text ambazo nilikua napekua angalau nimjue aliyekua anachat naye ili nimpigie tuonane achukue simu ya nduguye

Sikukuta chat nyingine zaidi ya hili jina lililoseviwa kama

MKE WA JONI

Kilichokua kinapangwa kufanyika siku ya jana kati ya huyu mmiliki wa simu na MKE WA JONI ndicho ambacho kimenifanya niapie abadani sitakirudisha kisimu hiki nilochookota

Badala yake nitampatia bibi yangu aendelee kukitumia ili na yeye angalau awe kwenye huu ulimwengu wa mawasiliano

Narudia tena kama ni wewe uliyeangusha kisimu chako na kina maudhui yanayomhusu mke wa joni.....sahau kuhusu simu yako

Na kama wewe ni bwana JONI aanza kifuatilia nyendo za mke wako na usikae kibwege

AHSANTE, pasaja njema!
 
mke wa ndegejohn
 
Husimpe Bibi yako , atasumbuliwa sana na Police mwenye simu akienda kusema kaibiwa, huchelewi kuskia umepewa murder case kwa sababu ya simu ya kuokota
 
Nipo tayari kufa juu ya hili
 
Back
Top Bottom