muhuni mpya
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 300
- 166
Ndugu zangu naombeni msaada wenu kidogo hapa, leo nmeota nagombana na kikundi cha watu, baada ya kugombana sana tukajikuta wote tupo pembeni kila mmoja anaambiwa aruke ndani ya shimo hilo, ni refu sana unaluka kuna sehemu unadaka alafu unaruka tena unakuwa umefika mwisho ukiruka vibaya vibaya unaumia, ilipofika zamu yangu mimi nkakataa kuruka yule mtu akawa ananilazimisha mimi nakataa muda huo nkashtuka usingizini, mgongoni kwan k