Ukiwa katika ' dilemma ' kama hii utaomba ' Israeli ' aondoke na nani Mbinguni na akuchie nani Kwanza hapa Duniani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,455
108,576
Una Mtoto Mdogo wa kama miaka Minne ( 4 ) na Mtu mzima ama Mzazi wako au Babu yako mwenye Umri wa miaka Sabini ( 70 ) ila bahati mbaya wote ni Wagonjwa na wapo Hoi kabisa na Wewe ndiyo unawauguza. Ili Kupunguza Mzigo ulionao wa Kuuguza huku Uchumi wako ukizidi tu ' Kutaradadi / Kupungua ' ungekuwa ni Wewe ungeomba yupi Afe / Afariki Kwanza na nani abakie?

Baada ya Pasaka kupita si vibaya sasa tukaanza ' Kuzipima ' upya ' IQ ' za wana JamiiForums kama bado zipo au na zenyewe zilienda na Sherehe za Pasaka na Likizo ndefu iliyopita ambayo nina uhakika kati ya Watanzania Milioni 55 waliosheherekea vyema na kuifurahia kabisa idadi yao haizidi Watu Elfu Tatu Mia Tatu na Thelasini na Tatu ( 3333 ) ila waliobaki Wote Sikukuu hii ' wamenuna ' au tuseme ' tulinuna ' Kunakotukuka.

Nawasilisha.
 
ningeomba JIWE na KAGAME watangulie kuzimu tumewachoka
 
Kwa binafsi yangu huyo babu anatangulia tu

ningeomba tuu islael apite na mzee baba, lkn mbona mnatuletea uchwara sana leoo humuuu? Eee Mungu mponye ndg yangu.
 
Miaka 70 inatosha sana. Watu wengi huwa hawafikishi? Ntashukuru kwa miaka yake 70 tuliyokuwa pamoja,kisha atangulie...
 
ningeomba JIWE na KAGAME watangulie kuzimu tumewachoka

Mara yako ya mwisho Kuvuta Bangi / Bange ilikuwa ni lini? Na una uhakika kabisa hiyo Bange / Bangi uliyoivuta ilikuwa ni ' Maalum ' kwa matumizi ya Mwanadamu au labda umevuta ile ambayo huwa wanapewa kama siyo kuwa kuwekewa wale Mbwa wa FFU Ukonga na pale Kurasini?
 
Inategemea dingi ujana wake aliutumia vipi, kama ni mwalimu au daktari na hana dementia anaweza kutusaidia hapa kijijini.

Kama aliutumia ujana kuwa juu mawinguni kama Pierre Liquid muache tu a RIP
 
Back
Top Bottom