Sababu za kufungiwa accont ya Tigopesa

papiso

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
391
228
Habari wadau natumaini ni wazima was afya

Labda ningeenda moja kwa moja katika mada

Najua kuna wadau wengi wanatumia huduma huduma ya tigopesa leo nitazungumzia suala la kufungiwa huduma ya tigo pesa na njia ya kupata msaada, kwanza kabisa tigo pesa account ni Kama account ya benki hivyo basi unatakiwa kuwa makini katika usajili na utunzaji wa namba ya siri, Kama ulisajili kwa kitambulisho ambacho sio chako ni bora ufike ofisini urekebishiwe na vitambulisho vinavyokubaliwa ni leseni ya udereva, kadi ya mpigakura, kitambulisho cha uraia na passport huna tafuta. Bila hivyo utaingia ktk matatizo endapo line itapotea au kuharibika hasa account inapokuwa na hela utajuta.

Mwenye kujua namba ya siri ndie anayeweza tumia account hakuna njia nyingine yoyote ile hivyo namba ya siri iwe ya siri kweli usimpe mtu.

Kuna sababu kuu mbili za kufungiwa account, mosi mtumiaji anposahau namba ya siri na kuweka namba tofauti mara tatu account automatic inajifunga endapo ikitokea hivi ukipiga namba 100 huduma kwa wateja unafunguliwa mara moja bila ya kufanyiwa uhakika Kama unaijua namba yako ya siri zaidi ya mara tatu utahojiwa sasa Kama usajili sio wako kazi unayo.

Sababu ya pill account kuwa suspended Yaani kushikiliwa hii hufanya na mtoa huduma kwa sababu mbalimbali moja endapo utaenda kurenew line account itafungwa kwa masaa 24 na system Ila itafunguliwa Ila Kama uliomba ifungwe halafu ndio ukaenda kurenew itabidi uwende tena ofisini ufunguliwe.

Fraud reason akaunti inaweza kufungiwa Kama mtumiaji aliitumia kufanya wizi, hii haina msaada.
 
Habari wadau natumaini ni wazima was afya
Labda ningeenda moja kwa moja katika mada
Najua kuna wadau wengi wanatumia huduma huduma ya tigopesa leo nitazungumzia suala la kufungiwa huduma ya tigo pesa na njia ya kupata msaada, kwanza kabisa tigo pesa account ni Kama account ya benki hivyo basi unatakiwa kuwa makini katika usajili na utunzaji wa namba ya siri, Kama ulisajili kwa kitambulisho ambacho sio chako ni bora ufike ofisini urekebishiwe na vitambulisho vinavyokubaliwa ni leseni ya udereva, kadi ya mpigakura, kitambulisho cha uraia na passport huna tafuta. Bila hivyo utaingia ktk matatizo endapo line itapotea au kuharibika hasa account inapokuwa na hela utajuta. Mwenye kujua namba ya siri ndie anayeweza tumia account hakuna njia nyingine yoyote ile hivyo namba ya siri iwe ya siri kweli usimpe mtu. Kuna sababu kuu mbili za kufungiwa account, mosi mtumiaji anposahau namba ya siri na kuweka namba tofauti mara tatu account automatic inajifunga endapo ikitokea hivi ukipiga namba 100 huduma kwa wateja unafunguliwa mara moja bila ya kufanyiwa uhakika Kama unaijua namba yako ya siri zaidi ya mara tatu utahojiwa sasa Kama usajili sio wako kazi unayo. Sababu ya pill account kuwa suspended Yaani kushikiliwa hii hufanya na mtoa huduma kwa sababu mbalimbali moja endapo utaenda kurenew line account itafungwa kwa masaa 24 na system Ila itafunguliwa Ila Kama uliomba ifungwe halafu ndio ukaenda kurenew itabidi uwende tena ofisini ufunguliwe. Fraud reason akaunti inaweza kufungiwa Kama mtumiaji aliitumia kufanya wizi, hii haina msaada.

Excuse me sir, Mimi natumia mtandao wa "Bongotel" hauna shida kwenye account ya pesa "Bongomoney". hata ukikosea namba ya siri ×100 ni mwendo mdundo tu.😁😁😁
 
Habari wadau natumaini ni wazima was afya
Labda ningeenda moja kwa moja katika mada
Najua kuna wadau wengi wanatumia huduma huduma ya tigopesa leo nitazungumzia suala la kufungiwa huduma ya tigo pesa na njia ya kupata msaada, kwanza kabisa tigo pesa account ni Kama account ya benki hivyo basi unatakiwa kuwa makini katika usajili na utunzaji wa namba ya siri, Kama ulisajili kwa kitambulisho ambacho sio chako ni bora ufike ofisini urekebishiwe na vitambulisho vinavyokubaliwa ni leseni ya udereva, kadi ya mpigakura, kitambulisho cha uraia na passport huna tafuta. Bila hivyo utaingia ktk matatizo endapo line itapotea au kuharibika hasa account inapokuwa na hela utajuta. Mwenye kujua namba ya siri ndie anayeweza tumia account hakuna njia nyingine yoyote ile hivyo namba ya siri iwe ya siri kweli usimpe mtu. Kuna sababu kuu mbili za kufungiwa account, mosi mtumiaji anposahau namba ya siri na kuweka namba tofauti mara tatu account automatic inajifunga endapo ikitokea hivi ukipiga namba 100 huduma kwa wateja unafunguliwa mara moja bila ya kufanyiwa uhakika Kama unaijua namba yako ya siri zaidi ya mara tatu utahojiwa sasa Kama usajili sio wako kazi unayo. Sababu ya pill account kuwa suspended Yaani kushikiliwa hii hufanya na mtoa huduma kwa sababu mbalimbali moja endapo utaenda kurenew line account itafungwa kwa masaa 24 na system Ila itafunguliwa Ila Kama uliomba ifungwe halafu ndio ukaenda kurenew itabidi uwende tena ofisini ufunguliwe. Fraud reason akaunti inaweza kufungiwa Kama mtumiaji aliitumia kufanya wizi, hii haina msaada.
Unafanya field kwenye moja kati ya matawi ya Tigo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom