Ukitaka kujua kama kweli serikali ya awamu ya tano inachapa kazi au ni blaa blaa fanya hivi!

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,395
Kutokana mabishano Mengi juu ya uwezo Wa serikali ya awamu ya tano kuchapa kazi!!!!
Usipumbazwe na mapichapicha na matukio mitandaoni!!
Njia rahisi ya kujua kama serikali hii ni ya wanyonge!!!
  • Nenda ofisi yoyote ya Umma kaombe huduma ndo utajua ukweli au ni uongo
  • Uguza mgonjwa katika hospitali yoyote ya serikali ndipo utaelewa vizuri
  • Wasikilize Viongozi na wasaidizi Wa serikali wakiwa ON MIC na OFF MIC ndipo utaelewa ukweli!
 
huu utawala ni Wa kambale hutakaa uelewe wewe nyumbu Wa ufipa! Ndege zinaletwa huzioni hadi uende hospitali kuchunguza? barabara huzioni? reli huioni? shule bureeee, n.k unataka serikali itoe nini? chadema mmevurugwa!!!
 
politics
 
Hiyo statement ya mwisho hiyo, you nailed it; yaani viongozi wakiwa ON mic na OFF mic, unaweza kudhani unawasikiliza watu 2 tofauti kabisa.
 
huu utawala ni Wa kambale hutakaa uelewe wewe nyumbu Wa ufipa! Ndege zinaletwa huzioni hadi uende hospitali kuchunguza? barabara huzioni? reli huioni? shule bureeee, n.k unataka serikali itoe nini? chadema mmevurugwa!!!
Itowe. Uhuru wetu iliyotupokonya ambao tulipewa na KATIBA
UHURU WA KUJIELEZA
UHURU WA KUKUSANYIKA
UHURU WA KUJIUNGA KTK VYAMA BY A SIASA
Nyinyi kama mnakiamin mnafanya kazi kwa nn mna woga sana kwa nin hamjiamini
Mlilikuta Bunge Live leo Bunge gizani n.k n.k
 
Back
Top Bottom