Nimeibiwa vyeti vyangu naomba Msaada kwa atakayeviona na kushare ujumbe

enock yusto

JF-Expert Member
May 28, 2014
377
340
*NAOMBENI MNISAIDIE KUSHARE HUU UJUMBE WADAU*

Kwa majina naitwa Enock Yusto mkazi wa Dar es salaam.

Leo tarehe 3/05/2019 majira ya saa Tisa alasiri nimeibiwa bag langu maeneo ya Msimbazi Centre Ilala.

Ndani ya ilo bag kulikua na nyaraka zangu muhimu ambazo ni;
1 *Cheti cha kuzaliwa*
2 *cheti changu cha form four*
3 *Cheti changu cha form six*
4 *vyeti vyangu vya chuo CBE academic na Transcript*
5 *Bima ya afya NHIF*
6 *Kadi ya mpiga kura*
Pia kwenye bag kulikua na vifaa vyangu vya kazi pamoja na coat maalumu kwa ajiri ya kazi.

Naombeni ndugu zangu atakayeweza hata kuokota ivyo vyeti vimetupwa mahali naomba anisaidie niweze kuvipata zawadi ya kushukuru itatolewa .
Napatikana kwa namba zifuatazo
*0762676448*
*0716522965*
Natanguliza shukurani kwa wote mtakaosaidia kufanikisha hili zoezi kwa kushare ujumbe uwafikie watu wengi.
 
....Pole sana kaka ,toa taarifa polisi najaribu kuwakumbuka hao uliokuwa nao. Mwingine labd a kaiba nia yake hilo begi Kali tu. Kumbe ndani umebeba maisha yako. Next time usitembee na vyeti kama hakuna ulazima.
 
Bagi nililiacha sehemu mwizi kaingia anaonekana kwenye CCTV camera ila kumtambua ndo bado
....Pole sana kaka ,toa taarifa polisi najaribu kuwakumbuka hao uliokuwa nao. Mwingine labd a kaiba nia yake hilo begi Kali tu. Kumbe ndani umebeba maisha yako. Next time usitembee na vyeti kama hakuna ulazima.
 
Pole sana mkuu. Vip uliibiwa ww au umesaidia kushare?

Binafsi nimeshea kwenye account zangu na magroup yangu.
 
Pole sana kwa nini unatembea na nyaraka zote kuhusu maisha yako, unatafuta kazi.?
 
Ninatafta kazi ndio nilienda kuvitoa photocopy nikapita sehemu kufanya kazi Fulani kitendo cha kupanda tu juu kurudi bag hakuna
Pole sana kwa nini unatembea na nyaraka zote kuhusu maisha yako, unatafuta kazi.?
 
Back
Top Bottom