Utafiti: Nyongeza ya Mishahara

Utafiti: Nyongeza ya Mishahara

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,277
Reaction score
2,463
#Utafiti Usio Rasmi ila ni Mhimu
Kwa mjibu wa utafiti huu mdogo nilioufanya kwa kuchukua kada tatu ya wafanyakazi walimu, bank officers na wale wa wizarani nimebaini kuwa nyongeza ya mishahara yao inaweza kuwa sio Tatizo. Utafiti umebaini kuwa asilimia 90% ya wafanyakazi wanaandamwa na madeni makubwa yenye riba kubwa katika taasisi za mabenki na hizi micro financing..Ntatoa case mbili.
1.
Mm take home ni kama mil 1.1 baada ya kodi n.k. Nilikopa mkopo nikanunua gari na kiwanja sasa ivi napewa kama 600,000 nyumba ninayoishi 200,000 mahitaji home 300,000 so kwa hio miaka mitano ya mkopo maisha yangu ni kula, kufanya kazi na kulala.
2.
Anafanya kazi halmashauri. Sa ivi napewa kama 240,000 kwa akaunti. Na ukizingatia majukumu niliyonayo hela haitoshi kabisa. Ninamkopo miaka 2.5 imebaki ila hali mbaya.
Nb. Niko na case study zaidi ya kumi.
Concl.
1. Riba kubwa zinazotozwa na mabenki haya ya biashara ni chanzo kikubwa cha umaskini kwa wafanyakazi.
2. Gharama kubwa ya nyumba za kupanga hasa Dar es salaam ni chanzo kikubwa cha ugumu wa maisha kwa wafanyakazi.
3. Ongezeko la gharama za vyakula
4. Wafanyakazi kutokuwa na uelewa mpana wa kujiongezea kipato.
N. K
Maoni.
Serikali kabla ya kuongeza mishahara iangalie na kucontrol hizi factors zinazo influence ugumu wa maisha.
Nawasilisha na karibu kwa maoni
 
Mkopo ni mshahara wako sema umeuchukua kwa mkupuo,na riba ile ni asante kwa bank kwa kukuhifadhia vizuri hela yako ya mshahara.....swala la.umeutumiaje huo mkwanja wako ni jambo la mtu binafsi na maamuzi yake yaheshimiwe.
 
Mkataba wa mwajiri na mwajiriwa unasemaje kuhusu nyongeza ya mshahara?

Ni haki yake au ni hisani?

Fanyia utafiti na hili ndo uje na hizo cases na conclusions.
 
Hakuna siku mwajiri alishawahi kuwaza mema juu ya mwajiriwa wake ila kuhakikisha anamnyonya na kumkandamiza to the maximum.

Unless wewe ni wanufaika wa huko jikoni na kama si hivyo basi unapotosha wanyoge kwa masilahi yako binafsi unayoyajua mwenyewe.

Na ukumbuke kuna watu mshahara wao ni kima cha chini lakini wanaishi mjini kama wewe, wanafamilia kama wewe, wanapanda daladala kamawewe, wamepanga kama wewe, wanakula milo mitatu kama wewe, wanasomesha kama wewe mwenye mshahara wa milioni na kuendelea.

Kabla hujapotosha umma, fikiria na utoe hoja kwa masilahi mapana ya umma.
 
Mh ur utafiti does not relay on Financially fact is just person convinction.

RIP Dr.Mengi
 
Tafiti hupingwa kwa Tafiti. Leta utafitu wako
 
Hakuna siku mwajiri alishawahi kuwaza mema juu ya mwajiriwa wake ila kuhakikisha anamnyonya na kumkandamiza to the maximum.

Unless wewe ni wanufaika wa huko jikoni na kama si hivyo basi unapotosha wanyoge kwa masilahi yako binafsi unayoyajua mwenyewe.

Na ukumbuke kuna watu mshahara wao ni kima cha chini lakini wanaishi mjini kama wewe, wanafamilia kama wewe, wanapanda daladala kamawewe, wamepanga kama wewe, wanakula milo mitatu kama wewe, wanasomesha kama wewe mwenye mshahara wa milioni na kuendelea.

Kabla hujapotosha umma, fikiria na utoe hoja kwa masilahi mapana ya umma.
Mkuu nahisi umesoma ila hujaelewa. My point is.. pamoja na mishahara kuwa midogo ila gharama za kuishi ni kubwa sana kiasi mfanyakazi hawezi kuishi kwa kile anachopata. Leo utaongezewa let say 30,000 utapandishiwa kodi ya nyumba, mafuta ya Gari, bei ya vyakula na ada probably by 50,000. The gvnt therefore should look beyond salary increment
 
#Utafiti Usio Rasmi ila ni Mhimu
Kwa mjibu wa utafiti huu mdogo nilioufanya kwa kuchukua kada tatu ya wafanyakazi walimu, bank officers na wale wa wizarani nimebaini kuwa nyongeza ya mishahara yao inaweza kuwa sio Tatizo. Utafiti umebaini kuwa asilimia 90% ya wafanyakazi wanaandamwa na madeni makubwa yenye riba kubwa katika taasisi za mabenki na hizi micro financing..Ntatoa case mbili.
1.
Mm take home ni kama mil 1.1 baada ya kodi n.k. Nilikopa mkopo nikanunua gari na kiwanja sasa ivi napewa kama 600,000 nyumba ninayoishi 200,000 mahitaji home 300,000 so kwa hio miaka mitano ya mkopo maisha yangu ni kula, kufanya kazi na kulala.
2.
Anafanya kazi halmashauri. Sa ivi napewa kama 240,000 kwa akaunti. Na ukizingatia majukumu niliyonayo hela haitoshi kabisa. Ninamkopo miaka 2.5 imebaki ila hali mbaya.
Nb. Niko na case study zaidi ya kumi.
Concl.
1. Riba kubwa zinazotozwa na mabenki haya ya biashara ni chanzo kikubwa cha umaskini kwa wafanyakazi.
2. Gharama kubwa ya nyumba za kupanga hasa Dar es salaam ni chanzo kikubwa cha ugumu wa maisha kwa wafanyakazi.
3. Ongezeko la gharama za vyakula
4. Wafanyakazi kutokuwa na uelewa mpana wa kujiongezea kipato.
N. K
Maoni.
Serikali kabla ya kuongeza mishahara iangalie na kucontrol hizi factors zinazo influence ugumu wa maisha.
Nawasilisha na karibu kwa maoni
Amina
 
Back
Top Bottom