Namtafuta Mwenyewe

Namtafuta Mwenyewe

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
603
Reaction score
512
Hii gari nimeambiwa inauzwa mmiliki nimeambiwa ni mdada anakaa dar na gari IPO Dodoma kwa sasa mwenye kumjua tafadhali anisaidie
IMG-20190502-WA0004.jpeg
 
Vipi mkuuu unataka kumgegeda ili akupunguzie bei!??
 
Kwa hiyo unataka tujue kuwa unataka kununua gari au ni nini?

Hizi tabia za kimaskini hizi waafrika tuziachage.
 
Sina twabia za kujionesha hasa kwa kiumbe kama mwanadamu dhaifu kuliko anavyo jiona mwenyewe na Allah aniepushe na lia hiyo.
Kwa hiyo unataka tujue kuwa unataka kununua gari au ni nini?

Hizi tabia za kimaskini hizi waafrika tuziachage.
 
Back
Top Bottom