Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

hiki kitabu kisitafsiriwe kwa lugha ya kiswahili hayati marehemu najua aliandika kwa lengo la watanzania ndio aliwatageti ila kwa lugha iliotumika wanaushiba chakula cha ubongo ni wengine kama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
BEHIND THE SCENE. Watu wanapenda kuangalia movie jinsi inavyoleta raha na msisimuko lakini hawajui behind the scene nguvu kubwa kiasi gani ilitumika kukamilisha hiyo scene inayosisimua kwenye...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni ajabu chombo hiki kujiita Jukwaa la Wahariri Tanzania, ilifaa kijiite Jukwaa la Wahariri wachache na wa Print Media Tanzania. Kwa miaka kadhaa sasa tangu chombo hiki kianzishwe huku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hongeren sana wanachama wenzangu wa dar Yanga afrika kwa kumaliza uchaguzi salama na naunga mkono uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti, Yanga sasa ni imara kama chuma sasa ni wakati wa watu...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Hii ni kutoa hamasa kwa vijana wenzangu wanaofanya kazi Posta. Wanaogopa kutembea kwa miguu (with public transport) wakati mwenzao Mrisho Mpoto anaona fahari kutembea peku peku! Nawashauri tu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wadau. Naomba kuuliza kama inawezekana kumtumia mtu mzigo kwa posta ems halafu ikifika ndio ilipiwe na mpokeaji? Natanguliza shukrani zangu za dhati toka moyoni.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watahiniwa 91,442 wanatarajiwa kufanya mitihani yao ya kumaliza kidato cha sita kuanzia leo Jumatatu Mei 6 hadi 23, 2019. Mbali na hao, watahiniwa 12,540 wanatarajiwa kufanya mitihani yao ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Haya si maadili yetu, kwa mwanamke wa kitanzania, kuonekana amevaa suruali pekee kwenye misiba pasipo kuvaa angalau mtandio.Hebu nyie waandishi wa kisasa zingatieni pia maadili ya mila na...
9 Reactions
90 Replies
27K Views
Hatimaye radio DREAM FM 91.3 ya jijini Mbeya, ambao ni waandaaji wa mashindano ya Miss Mbeya 2019 wametolea ufafanuzi zawadi ya bodaboda waliyoitoa kwa mshindi wa mashindano hayo ya urembo. Wasema...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii video nimeikuta youtube mke wa kagame akizindua na kugawa nyumba za kifahari kwa watusi ambao walikua waathiriwa wa mauaji ya kimbari
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mapema leo natumia mtandao fulani wa kijamii nimekutana na hii picha mpaka imenisononesha,vijana toka familia duni wamekua wahanga wa kubwa na ukosefu wa ajira.Huyu bwana mdogo ana degree mwaka wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sijui labda niko nyuma ya wakati au la. Hivi kuna mwanamuziki anaitwa Wakazi? Ni mtanzania? Anaimba muziki gani? Mimi sio mtu ambae naweza kuachwa nyuma na mambo au matukio sio tu Tanzania...
1 Reactions
57 Replies
11K Views
Habari wana JF Kwanza kabisa lazima tukiri kila nafsi itaionja mauti (hapa tuna uelewa wa pamoja). Pili, jambo la kufikirisha ni unakufaje, baada ya kufa utapata status gani? hayati au marehemu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawasalimu wote, kila mmoja kwa mujibu wa imani ya dini yake, kwa kigezo cha umri wake, jinsia na mlengo wake wa kisiasa..itifaki imezingatiwa. Mara kadhaa nimekua nikijiuliza kama je kufanikiwa...
22 Reactions
44 Replies
5K Views
ITUNZE CHUPI YAKO IMEBEBA MAANA KUBWA SANA KATIKA MAISHA YA NDOA IMEANDALIWA NA SANTOS AMAN MWAKOMO Pole na majukumu ya hapa na pale, natumai u mzima wa afya nami vivyo hivyo. Leo nimependa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bandugu, nimetafakari sana tukio hili. Mweshimiwa hataki mizaha kabisa kwenye kazi.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii habari kuna mdau aliileta hapa lakini ikapotea.... Sijui kwa sababu gani Habari yenyewe ilikuwa jamaa aliyenyongwa na joka lake 'la Kibisa' Akiwa analo muda mrefu tu, akilitumia kwa shughuli...
6 Reactions
56 Replies
7K Views
Clouds media ni zaidi ya Elimu kwa watu, katika tathimini yangu nimegundua hawa jamaa hakuna media yoyote inayowafikia hapa Nchini. Sitaweka sababu kwanini nawakubali, maana wakupinga wapo, japo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Waungwana, Kama nilivyowashirikisha hapo awali week moja iliyopita kama sijakosea sasa kuna mdau mmoja hapa JF kanijia PM na kunitaka kuongelea hili dili la kumuuzia hili pagare langu sasa...
2 Reactions
84 Replies
8K Views
Back
Top Bottom