wakati tunajikwamua kupiga miswaki na kupambana na wakina waitdent na kologeti lakni jambo la ajabu sijwahi kuona mzungu mwenye meno meupe kama wengi tunavyambana yawe au kumaintain.
Inakuwaje...
Kwamba laiti Binadamu ( hasa Watanzania ) tungekuwa tunajua Siku zetu za Kufa, Muda na Jinsi Vifo vyetu vitakavyokuwa huenda tungeheshimiana sana na kupendana mno kiasi cha Kumfurahisha Mwenyezi...
Tunajua wazi kabisa figo moja inaweza fanya kazi na ukaishi miaka mingi tuu kwanini utumie Figo mbili hayo ni matumizi mabaya ya rasimali... TUNAKUFUNGULIA DUNIA KUA UNAVYO WEZA... MAAMUZI NI...
Heshima kwenu wakuu,
Basi la Kilimanjaro limepata ajali Tanga likiwa linkaribia Mkata. Basi hilo lilikuwa linatokea Aruaha kuelekea Dar Es Salaam.
Tunaendelea kufuatilia kama kuna madhara ya...
Assalam Aleykum.
Ningependa kuwafikishieni Waislam na Waumin wote kua Mwezi umeandama na kuonekana huko Kenya ktk Kaunti ya LAMU maeneo ya Hola,Mikinduni..na kuthibitishwa na Kadhi mkuu wa...
Tunakaribia mwezi may na bado miezi 4 wakulima waanze kuvuna korosho mpya ya msimu 2018/2019.Je korosho mpya zitawekwa maghala yapi?maana hadi sasa maghala yoote yamejaa za mwaka jana.
Maghala...
Siwezi jilaumu kwanini nilisoma kwani elimu inafaida yake kubwa sana.
Baada ya kusoma sasaa nataka nitumie ujuzi wangu huu kujipatia kipato halali.
Nimeamua kwenda shamba kulima na kufuga ngombe...
Miaka ya 90 ! Kurudi Nyuma huko
Mwanaume alitambulika kwa Majukumu Anayo yafanya. 1.Ikiwemo Kuwinda
2.Kulisha Familia
3.Kulinda familia
4. Na mengineyo yaliyoitaji nguvu....
Kulikuwa na Mipaka...
Leo Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD) wa KKKT Dayosisi ya Karagwe,
Amesema
'ukiongea utachinjwa, ukinyamaza utachinjwa. Ukipiga kelele utachinjwa, na ukikaa kimya utachinjwa.
. #BringBackMdude Alive
Juzi nilileta thread ya kutangaza kuhusu kuibiwa bag langu ambamo kulikua na nyaraka zangu muhimu ilkiwa ni vyeti pamoja na vitambulisho .
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1580120/...
*UKOO WA HAIWEZEKANI*
Nianze kwa kumnukuu Henry Ford "The cheapest commodity in the world is opinion"
-Alisema kuwa bidhaa rahisi kupata katika hii dunia ni ushauri, ujue siku zote kitu rahisi...
Wakuu
Kwanza niwatakieni salamu za ijumapili na hasa wakati huu ambapo tunaomboleza kifo cha mtanzania mwenzetu Regnald Mengi.
Ilikuwa miaka kumi na tano iliyopita nilipokwenda nchini Congo...
Na Bakari Chijumba,Mtwara.
Afisa habari wa mkoa wa Mtwara, Evaristy Masuha amepongeza uongozi wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Mtwara (MTPC),kwa kutoa tuzo kwa wanahabari wanne mkoani...
Mungu aiweke pema peponi roho yake.
Mara nyingi Mzee amekua akisema kuwa yeye amekulia kwenye umasikini Wa kutupwa
Nimeona clip hapa akihojiwa na Mtangazaji Wa Citizen TV,akimjibu mwandishi...
Watafiti wa Taasisi ya Pine Street, ambayo inashughulikia utafiti kuhusu kansa, wanasema kwamba ubongo na pua ya mbwa zinapofanya kazi pamoja zinafanyiza “mojawapo ya vifaa tata zaidi vya kutambua...
Habari za hapa kwakweli kuna mambo yameibuka siku za karibuni ,yaan kutekana tekana
JE WAJUA WATU WANAOTEKWA NI WA AINA GANI?
1.Watu maarufu, ama anaweza kuwa msanii, muigizaji ama mchekeshaji...
Serikali imetaifisha rasimi Mali za Wakili maarufu Nchini Median Mwale zenye thamani ya sh,bilioni 1.2 zilizotokana na zao la utakatishaji mara baada ya mahakama kuu kumtia hatiani na kuamuru Mali...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umewekeza kwa kutoa zaidi ya Sh bilioni 111.7 kwenye ujenzi wa hospitali na ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa katika hospitali mbili kubwa mkoani Dodoma...
Nimeona viongozi mbali mbali uwa wanasaini kitabu ikitokea msiba ,pia km kiongozi wa nje ya nchi akifariki mh Rais uwa anatoa salamu za Rambi Rambi.
Uwa najiuliza salamu za Rambi Rambi wanatoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.