MISS MBEYA 2019

MISS MBEYA 2019

Joined
Mar 22, 2018
Posts
77
Reaction score
82
Hatimaye radio DREAM FM 91.3 ya jijini Mbeya, ambao ni waandaaji wa mashindano ya Miss Mbeya 2019 wametolea ufafanuzi zawadi ya bodaboda waliyoitoa kwa mshindi wa mashindano hayo ya urembo. Wasema badoboda hiyo ni mtaji kwa mrembo Angela Deocreass na tayari mrembo huy
IMG-20190505-WA0016.jpg
IMG-20190505-WA0033.jpg
o ameshatoa ajira kwa kijana mtanzania atakayekuwa dereva wa bodaboda hiyo.
 
Wanawakatisha tamaa mabinti wanao tamani kuingia katika tasnia hiyo.
Ndio maana watanzania hatufanyi vizuri kimataifa
 
Sasa kama n jiji linawafadhil wengi na mshindi anapata bodaboda vp huku RUVUMA ambako n kajimji tu miss wetu atapata nn ... Kweli vyuma vimekaza jamani
 
Wanawakatisha tamaa mabinti wanao tamani kuingia katika tasnia hiyo.
Ndio maana watanzania hatufanyi vizuri kimataifa
Kwani kwingineko mashindano kama haya ngazi ya mikoa huwa wanapewa nini hadi pikipiki ionekane jambo la ajabu sana?
 
Back
Top Bottom