Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni hakika ugomvi huu ni muda mrefu hadi inachosha kuusikia! Picha Halisi kugombea ARDHI au MAJI ni dhambi kubwa ndiyo inayoweza kuzalisha vita vya karne hadi Karne! Napenda sana Israel Na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Je wajua historia ya tajiri wa pili duniani Warren Buffet? Yeye anamiliki zaidi ya dola za kimarekani bilioni 50 na ameshachangia zaidi ya billion 30. Haya ndio baadhi ya mambo yake muhimu...
12 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika mafunzo ya kijasusi wanayopewa CIA hakuna funzo la Muhimu kama '' Situation awareness''. Yaani kujua mazingira yanayokuzunguka na kinachoendelea wakati wote ili ukikutwa na bahati mbaya...
2 Reactions
7 Replies
967 Views
Nawamiss sana hawa jamaa walikua wanaharakati wa kweli wasiokua wanafiki Ulikua ni ukurasa au kundi la watu pekee walofanikiwa kuwafikia mamilioni ya watanzania kwa muda mfupi na kujizolea...
1 Reactions
2 Replies
844 Views
Huwa napitia mara kwa mara ktk tovuti yenu ya Kiswahili. Siku hizi za karibuni mmekuwa si makini ktk uandishi wenu. Mfano mdogo tu ktk habari ya Meghan kajifungua mtoto wa kiume mnasema jina la...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habar za muda huu ndugu wanabodi This is not the right time for politics,let's put aside our political affiliation, let's be his voice Take a time and think about the guy...place yourself...
16 Reactions
47 Replies
6K Views
Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi na watu maarufu ni vyema tunazipa barabara hizi majina ya wakandarasi wanaozijenga, tukiweka bango La mahali anakopatikana na namba zake. Hii itasaidia...
2 Reactions
5 Replies
867 Views
Leo ITV mmetuboa watazamaji wenu, tulikuwa tunategemea mtatulushia Mubashara toka mwili unavyoshushwa na yanayojili mitaani Kama ilivyokuwa wakati wa Ruge lkn sivyo, Tambueni huyu ni mtu Mkubwa na...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
Rais wangu hebu pima uzito wa haya mambo. Hivi huu utekaji ina maana hujawahi kuusikia?mhona upo kimya kama wewe hauishi Tanzania?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna minong'ono na maneno ya wazi kwamba kuna viumbe wa ajabu wamekimbilia katika dunia na kusababisha hofu na wasiwasi wa maisha ya binadamu wa kawaida, kwa mujibu wa mwanasayansi wa fizikia na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Leo nimeshika Coin ya mia mbili na mia tano nikashangaaa kuona zote zina Karume. Nikajiuliza ni kwanin ziwe na mtu mmoja wakati kuna viongozi wengine walio namchango kwenye taifa letu wa pande...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Habari zenu wakuu. Naomba kama kuna mtu au kikundi kinaweza kunikopesha sh. Laki 5 kwa riba anijuze tuwasiliane. Niko Dar es salaam.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Warren Buffett alizaliwa mwaka 1930 katika mji wa Omaha, Nebraska, Marekani. Baba yake mzazi Howard Buffett, alikuwa akiuza dhamana katika benki ya Union Street, Omaha 1931. Benki hiyo ambayo baba...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Kuna tatizo lolote uko maana huku radio na tv ni chenga tupu hazionyeshi kitu .
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, inaeleweka mifuko la plastiki ni hatari kiafya kwa matumizi ya vyakula hasa vya moto. Shukuran kwa serikali sasa kutoa amri ya kutoizalisha na kuitumia hapa nchini. Ninapita pita kwa mama...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Hivi ni vitu gani tunapaswa kuvizigatia kwa wakati wa kuuza ama kununu mali kama vile nyumba , viwanja, shamba,n.k Hapa tujuzane taratibu zinazohusika ikiwemo aina za document zinazohusika wakati...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dayosisi ya Kanda ya kasikazini ya Kkt , imeeleza kupokea kwa Masikitiko makubwa kifo cha Reginald Mengi kuwa ni janga, lakini wanamshukuru Mungu kwa uhai aliomkirimia Reginald, askofu mkuu...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
KAMA NILIVYOIPOKEA. *GHAFLA MANENO YA MDUDE CHADEMA YAMENIPA NGUVU MPYA!* Na Boniface Jacob TAKRIBAN saa 24 zimepita nikiwa natetemeka na kunyongea kwa uoga. Nilikuwa kama kuku aliye bandani...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni msaada wana jamii forum. Kuna mwimbaji mmoja wa nyimbo za injili aliimba wimbo akitaja majina ya Mungu na maana yake. Kama kuna mtu anamfahamu naomba anisaidie jina lake. Ni mwanaume.
1 Reactions
4 Replies
725 Views
Kumekuwa na matukio mengi ya kutekwa na kati ya matukio mia moja, inawezekana waliyorudi salama ni wawili au watatu akiwemo Mo Dewji. Tukumbushane rules chache kuhusu utekaji na hasa swanasiasa...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom