Kijana mwenzangu, unajiona wapi miaka 5-10 ijayo?

Starboywiz

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
867
1,441
Nawasalimu wote, kila mmoja kwa mujibu wa imani ya dini yake, kwa kigezo cha umri wake, jinsia na mlengo wake wa kisiasa..itifaki imezingatiwa.

Mara kadhaa nimekua nikijiuliza kama je kufanikiwa huwa determined na bahati au juhudi binafsi za mtu, kiukwel nimeshindwa kupata jibu sahihi kwa kuwa wapo wanaojibidiisha kufanya kazi kwa bidii na bado hawafanikiwi (hutokea mara chache), lipo kundi lingine ambao wao hufanikiwa kwa bahati tuu (wachache pia), labda kwa sababu ya background za familia zao na wengine ni connections.

Back to the matter, leo nataka nijadili na vijana wenzangu..wale tunaotoka kwenye familia duni, hatuna connections zozote za maana, hatuna ndugu waliotangulia kusoma au kufanikiwa..mostly tunaangaliwa sisi ndo tufungue milango kwa ndugu zetu wengine.

Binafsi naamini kwamba kesho ya mtu ipo mikononi mwa mtu mwenyewe, vile unavyoishi leo ndivyo unavyotengeneza kesho yako.

Vijana wengi tunasahau kuwa mienendo yetu ya kila siku ndo inayofanya maisha ya yaendelee, chukulia mfano umeamka leo...umepata breakfast, ukazugazuga mpaka mchana ukala chakula cha mchana..baada ya hapo ukaenda kijiweni na washkaji mkapiga zogo pale messi vs ronaldo, au mondi vs kiba..mara jioni hii hapa. Hakuna cha msingi ulichofanya, kesho tena the same routine..ukija kushtuka mwezi umeisha, then mwaka..miaka
Tabia kama hiyo haiwez kumpa mtu mafanikio, mafanikio hayapo pale kukusubiri ukiwa tayari yakufate. Maisha hayana remote control kwamba utayabadili while sitting on a sofa,

Hivi ulishawahi kujiuliza..kwa jinsi unavyoishi sasahivi utakua wapi miaka kumi ijayo? Ushawahi kujiuliza
> utakua ukiingiza kiasi gani kwa mwezi? Kwa source zipi? Na je unafanya juhudi ya kuandaa hiyo source yako ya income kutosha kukuingizia kiasi hicho?

>unahitaji kuwa na familia ya aina gani hapo badae?

>Unahitaji kuishi kwene nyumba ya aina gani??

>Ni aina gani ya marafiki unahitaji kuwa nao?

Ili maswali ya hayo majibu yawe positive kinadharia na kwa hali halisi, ni wazi kuwa inahitaji maandalizi ya sasa..

Vijana tunaishi bila ndoto (Ujinga huu!)
Wengine tuna ndoto lakini hatuna malengo ya kuzifikia hizo ndoto (haifaii)

Wengine tuna ndoto na malengo ya kuzifikia, tatizo tu waoga kuanza..tunafeli sana hapa, mfano mtu dream yake ni kuja kumiliki restaurants kali mjini lakini anakaa tuu ije itokee siku apate hela ya kutosha afanye ivo! (Hiyo hela itakujaje bablai? Unangoja kushinda jackpot ya biko au? Lini sasaa)

Kama siku ukigundua unataka kufanya maishani, ukaki minimize kwa kiwango chako ulichonacho saivi halafu uanze nacho huku ukiwa na mipango ya kufikia kule unataka..hauwez kufeli, mfano lengo lako ni kuwa na hiyo restaurant.. Lakini huna hela ya kukutosha kufanya ivo, sio vibaya kufungua kijimgahawa local tuu mtaani kwako huku ukizingatia kanuni zote za biashara ikiwemo lugha nzuri kwa wateja na usafi pia, lakini pia huduma nzuri lkn kichwan mwako ukiwa na malengo ya kuwa na hizo restaurants kalii kwene miji yote mikubwa tz, kwa styl hiyo lazima hata matumizi yako yatakua mazuri. Kile unachosave kitakua kikubwa kuliko unachotumia..ukiishi kwenye nidhamu hiyo, huku ukizingatia kuwa na ndoto kubwa huwez kufeli

Inawezekana pia hata huo mtaji wa kufungua hicho kimgahawa huna, unaweza kuminimize zaidi ya hapo..unaweza kuanza kwa kupikia chakula nyumbali hata sahani chache tuu ukawapelekea watu wa site msosi, badae ukapata sehem then ndoto yako ikawa kweli.

Au una ndoto ya kumiliki kampuni ya usafirishaji, huwez kuwa na hela ya kuanziaa..minimize basii hata ukiwa na baiskeli kadhaa za kukodisha hiyo itakupa mwangaza kuielekea ndoto zako.

VIJANA WENGI TUNAOGOPA KUANZA HATUA YA KWANZA. ANZA LEO, HAIJALISHI NI NDOGO KIASI GANI..HAIJALISHI UTATEMBEA TARATIBU KIASI GANI, MUHIMU TUU UTEMBEE NA USISIMAME, UKIJIKWAA USIKATE TAMAA KUINUKA. HATA KAMA UNAIONA NGAZI MOJA IPANDIE TUU ZINAZOFATA UTAZIKUTA HUKOHUKO, PROBABLY HUZIONI SAIV SABABU ZIPO JUU SANA ILA ZINAONEKANA UKISHAKUA KWENYE ILE YA KWANZA.

Tujifunze kuviacha vile tunavyohisi tunavipenda sana kwa sababu ya ujana, vitu kama mademu wengi, tungi na starehe zingine vinatupotezea sana direction... Inaweza kuwa vigum kuviacha ila at least tuvipunguze. Manzi anahitaji muda mwingi na attention yako, hustlings pia zinahitaji hayo...vipi wakiwa wengi?

Salute kwa wahuni mnaohustle kutengeneza kesho zenu zilizo bora, inawezekana hustlings zenu hazijaanza kuwalipa vile ambavyo mnatarajia, mda bado tuu better days zinakuja. Kwa saiv just being rich in ambitions inatosha sana, hela zitakuja zenyewe
 
Ushauri Mwal
IMG-20190301-WA0001.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ki ukweli sawali lako ni fikilishi sana kwa mtu mwenye malengo.
Binafsi nimeaza mikakati, panapo Majaliwa miaka kumi ntakuwa billinare kama sio millionaire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miaka mitano kama si kumi ijayo, najiona nikiwa mjengoni(bungeni) nikiwa mwakilishi wa jimbo fulani . pia naiona milango ikifunguka nikiijenga tanzania yangu na watanzania wenzangu
 
Kila mmoja anatamani mafanikio baada ya muda fulani,ila kuna vikwazo vingi katika kuyafikia hayo mafanikio;mfano maradhi.kifo,kutokuwepo na soko,ukosefu wa ajira n.k
 
Back
Top Bottom