kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,115
Clouds media ni zaidi ya Elimu kwa watu, katika tathimini yangu nimegundua hawa jamaa hakuna media yoyote inayowafikia hapa Nchini.
Sitaweka sababu kwanini nawakubali, maana wakupinga wapo, japo watapinga kwa vidole ila moyoni wanakubali.
Mungu akupe Maisha marefu brother Mr Joseph ( jina lenye maana sana ) na pia amjalie Boss Ruge ( sio boss wangu ila namkubali sana kama njia yangu ya kukuza upeo wangu wa kusaka pesa ).
Wafanyakazi wote Mr Kibonde, Adam chovu mchovule, Team ya Taifa 360, B kamili, jahazi asili yetu ndani ya leo tena uku kuna power breakfast Masoud karibu katika kambi popote ujionee.. burudani kwa wote.. The people station.
Nawapenda sana, ONE LOVE 4 ALL