Wangapi wanasema nimdimoti?

Wangapi wanasema nimdimoti?

mathabane

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
2,405
Reaction score
1,900
Bandugu, nimetafakari sana tukio hili. Mweshimiwa hataki mizaha kabisa kwenye kazi.
 
Kwenye ugeni wa rais kama huo, viongozi wa mkoa wa mashirika na taasisi za serikali au wawakilishi wao kuwepo ni lazima sio hiari.
Kutokuwepo ni mazarau kikwelikweli.
 
Kwenye ugeni wa rais kama huo, viongozi wa mkoa wa mashirika na taasisi za serikali au wawakilishi wao kuwepo ni lazima sio hiari.
Kutokuwepo ni mazarau kikwelikweli.
Hivi baada ya kuiona hiyo clip, aliweza kula chakula kikamezeka, au hata yale mambo yetu, tangia hapo hadi leo akipewa atayamudu kweli kwa harrass za kishindo kama hizo?
 
Kwenye ugeni wa rais kama huo, viongozi wa mkoa wa mashirika na taasisi za serikali au wawakilishi wao kuwepo ni lazima sio hiari.
Kutokuwepo ni mazarau kikwelikweli.
Walau hata muwakilishi awepo, otherwise ni dharau ya hali ya juu
 
Kwenye ugeni wa rais kama huo, viongozi wa mkoa wa mashirika na taasisi za serikali au wawakilishi wao kuwepo ni lazima sio hiari.
Kutokuwepo ni mazarau kikwelikweli.
Inaonekana hawa viongozi wa Tanesco wana zereu.Niliwahi kuona crip moja ambapo mkuu wa mkoa wa Iringa Aly akimkoromea meneja waTanesco kutokuwepo kwenye ziara zake
 
sasa magu kama anawahitaji si atoe taarifa, hapo ukute huyo meneja na msaidizi wake wapo kazini kwenye kikao au msaidizi yupo likizo then meneja anaumwa
 
sasa magu kama anawahitaji si atoe taarifa, hapo ukute huyo meneja na msaidizi wake wapo kazini kwenye kikao au msaidizi yupo likizo then meneja anaumwa
Muwakilishi alipaswa kuwepo.
Pamoja na huyo meneja kuondolewa, ni lazima kutaundwa timu itakayochunguza kwanini hakukuwepo hata muwakilishi wake, mwakilishi kutoka mkoani au meneja wa wilaya husika kwanini hakujitokeza.
Ikumbukwe mkuu wa wilaya, anamuwakilisha rais katika wilaya yake. Vivyo hivyo, meneja wa wilaya anamuwakilisha mkurugenzi mkuu wa tanesco katika wilaya yake, kwahiyo ni mtu mkubwa kwelikweli. Ni lazima alipaswa kuwepo pale. Kwahiyo hili halina mmoja.
 
Ujinga huu.
Asante Mungu kwa kunijalia nguvu na akili ya kuukimbia huu utumwa.
 
sasa magu kama anawahitaji si atoe taarifa, hapo ukute huyo meneja na msaidizi wake wapo kazini kwenye kikao au msaidizi yupo likizo then meneja anaumwa
Kiitifaki lazima tena ni lazima uhudhurie Kwenye mikutano ya mkuu wa mkoa wako, mawaziri wanaokuja mkoani kwako. Na kama anaumwa au umefiwa na mtu wako wa karibu mtaalifu mkuu wako wa mkoa. Vingine vyo ni utovu mkubwa wa nidhamu hivyo demotion ni halali yake huyo engineer.
 
sasa magu kama anawahitaji si atoe taarifa, hapo ukute huyo meneja na msaidizi wake wapo kazini kwenye kikao au msaidizi yupo likizo then meneja anaumwa
Kiongozi wa nchi yuko kwenye ziara rasmi ya kikazi mkoani kwako; ziara ya siku nane, wewe meneja was shirika la umma nyeti kama Tanesco huambatani na msafara mpaka ualikwe? Huo ni utovu wa nidhamu uliopitiliza!!
Kama meneja una dharula, tuma mwakilishi nwenye uzito unaostahili kulingana na mwenye ziara; yuko msaidizi wa meneja, yuko mhandisi na maofisa wengi waandamizi. Heri uwepo kwenye ziara ya mkuu hata usipoulizwa swali hakuna kesi.
Ona sasa kilichomtokea; hata kama alikuwa na dharula, bado hatakwepa lawama kwa kukosa uwakilishi. Tujifunze kwa makosa ya watu wengine kuliko kujitoa fahamu; mateso kwa familia.
 
Back
Top Bottom