Wanyama ni hayawani usijaribu kucheza nao

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,794
Hii habari kuna mdau aliileta hapa lakini ikapotea.... Sijui kwa sababu gani
Habari yenyewe ilikuwa jamaa aliyenyongwa na joka lake 'la Kibisa'
Akiwa analo muda mrefu tu, akilitumia kwa shughuli zake za usanii na kumuingizia kipato, jamaa aliingia nalo kwenye ukumbi uliojaa watu tayari kwa onyesho
Akiwa katika mavazi yake rasmi ya maonyesho na joka lake kwenye ukumbi uliofurika watazamaji waliolipa kiingilio.... Akaanza kulivingirisha shingoni mwake...... Lakini bila kujua kuwa zake zimefika joka likajiviringa vizuri shingoni na kuanza kukaza
Watazamaji wakiwa hawana habari na kinachoendelea wakaona jamaa analegea na kuanguka chini, kisha akaanza kujaribu kurusha mkono ulio huru kama ishara ya kuomba msaada.. Watazamaji wanashangilia....!!!!
Walioshtuka ni walinzi baada ya kuona jamaa ananyoosha miguu kama ishara ya mwisho ya kukata roho.... Nitaweka video ya tukio zima hatua kwa hatua
 
Ni kweli wanyama ni hatari sana, hata nyati, faru john na faru ndugai ni hatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom