Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya kutumia social media nimeona comments nyingi sana za chuki baina ya mataifa For example kukiwa na topic yoyote ile inayosifia Tanzania, utaona a lot of negative comments za Wakenya...
4 Reactions
5 Replies
175 Views
  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University)...
2 Reactions
– Replies
– Views
Hii imekua kama utamuduni au ishara ya mtu kuonekana anaishi vizuri lakini ni ndivyo sivyo. Matajiri wengi na wenye kipato ambacho si Cha magumashi hutumia hela zao kwa vyakula visivyo na faida...
3 Reactions
2 Replies
151 Views
Yani sikuhizi kila nikiona video za mandhari nzuri za Tanzania nikianza kufurahi kichwa changu kinanikumbusha Samia ndio Rais Haka kabibi kajiuzulu tu tupumzike mauaji na kutekana, Tanzania yetu...
8 Reactions
13 Replies
236 Views
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya usafiri wa anga na utalii baada ya Shirika la Ndege la Brussels Airlines kuzindua rasmi safari zake za moja kwa moja kati ya Brussels, Ubelgiji na...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Utawala dhalimu wa damu, mmeua maelfu ya watu kujitangaza bila ridhaa ya umma.. Mmeteka na Mnateka watu ili kuwajaza watu hofu.. Mnawategea wengine sumu ili kuwaua na kumaliza kila anaewakosoa...
1 Reactions
0 Replies
64 Views
Kaburi la Askari Asiyejulikana ni mojawapo ya makumbusho muhimu zaidi ya kumbukumbu za vita nchini Urusi. Lipo katika Bustani ya Alexander, karibu na Kremlin jijini Moscow. Kumbukumbu hii...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Mk 8:27 SUV [27] Akatoka Yesu na wanafunzi wake, wakaenda kwenye vijiji vya Kaisaria-Filipi; na njiani akawauliza wanafunzi wake, akasema, Watu huninena mimi kuwa ni nani? Swali hili...
1 Reactions
21 Replies
264 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kwanza serikali inabidi iwashukuru wanawake wanaokula nauli za wanaume wajinga wajinga. Iwashukuru kwa kuwanyoosha wanaume wasiojielewa. Kwa sababu hiyo ndio...
3 Reactions
28 Replies
384 Views
Kwanza kabisa Mimi sio mtumishi wa serikali lakini nimekaa nimefanya kauchambuzi kangu kadogo,nimekuja kugundua watumishi wengi wanaishi na stress kutokana na Hali ya maisha ilivyokua ngumu. Hebu...
4 Reactions
9 Replies
356 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imewafikisha mahakamani watuhumiwa 23 kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) na Chama cha Walimu Tanzania (CWT), wakikabiliwa na...
2 Reactions
6 Replies
382 Views
Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima...
0 Reactions
3 Replies
105 Views
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo (Mb), amewahakikishia Wakulima Nchini kuwa mbolea inapatikana kwa wingi na hakuna sababu ya kuwa na hofu kuhusu upatikanaji wake katika msimu unaoendelea wa...
1 Reactions
9 Replies
155 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…