Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habari wana jf naomba kufaham sheria za tra meneja wa tra anayo haki ya kuamua kesi ya muuzaji bidhaa na mnunuzi wa bidhaa? kuna mfanyabiashara mwenzangu juzi alikuja mteja dukani kwake...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
AUNT YANGU NI muislam watoto wake wote wamesomaa shule za kikatoriki alisema mimi nachotaka ni kuwatengezea misingi katika maisha yao sio kuwafanya wajue dini kuliko elimu.. mpaka sasa navyoongea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NCHI ZA AFRIKA ZILIZOMO KWENYE MTAZAMO WANGU NI AMBAZO HAZINA WAARABU(SUB SAHARAN) Nimefanya utafiti kwa kipindi sasa na nikagundua watanzania ni nchi ya tatu kwa wananchi wake kuwa wajanja...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mzuqa! Leo matokeo ya green card yameeanza kutoka. Ila sasa hivi siyo kama miaka ya nyuma unapata kwa njia ya Posta. Hiki ni kisa cha kweli Nilisimuliwa kipindi flani miaka ya nyuma. Kuna...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
ENZI ZA UTOTO TULIAMINI KWAMBA... Kwa Wahenga tu si Kwa KIzazi cha Video Game 1. Ukiweka SINDANO kwenye RELI (aidha ya kirungu au ya kushonea) Basi TRENI ikipita itapinduka... 2. Ukila TUNDA...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakuu habarii zenu!?? #watafuna kondoo mpoo Forex scammer na mwandishi mashuhuri wa kitabu cha cashflow quadrat mr jabulan Ngcob pamoja na mkewe wamehukumiwa na mahakama ya johanesburg kwenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali iangalie kinachoendelea katika ubalozi wa Italia hapa Dar kwa vile ubalozi umeweka vigezo vya kupatiwa visa, jambo la kushangaza ni kwamba hata ukitimiza hayo masharti waliyoweka bado...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Japo Comment ya kwanza ya utani lakini inastajabisha then ukipima na kipindi chenyewe hiki..!! Alafu sijamuona pale sebureni..! Kwani walikuwa na tatizo?
9 Reactions
55 Replies
11K Views
Tumeshuhudia leo RC dsm akisema bila woga kuwa alipewa sh 147m na marehemu Mengi eti akalipe deni,Jee sheria zetu za rushwa zinaruhusu mtu mwenye mamlaka fulani kupokea pesa bila utaratibu wowote...
1 Reactions
1 Replies
711 Views
Habarini za muda huu ndugu zangu wana jamiiforum Ninafungua uzi kila mara la kuhitaji msaada wa namna hii Naomba kama unafanya kazi vodacom au una mtu anafanya kazi hapo naomba mnisaidie nione...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
#BringbackMdude Huu ukimya wa vyama vya upinzani na kuleta hoja soft bila kuchukua hatua ni kuwa bado Kuna ombwe kubwa la nia yenu ya kutaka kuikomboa nchi. Moja. Ilitakiwa kwenda kukusanya nguvu...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana Nzengo, Kamwene? Leo nawaambia, mkubali ama mkatae maisha ya haya ya duniani ni makumi 7 tu, kama ukizidi miaka 70 basi ni hiyo ni Bonus na wewe ni kidume. Lakini hata huo muda wa bonus...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
"Katika kutekeleza agizo la Rais Magufuli,wale waliojihusisha na Kangomba kwenye #Korosho, Nachingwea,wawasilishe barua zao za kukiri kosa na kuahidi kutorudia ili tufanye malipo yao..Mwisho wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nikupe pole mwanajf mwenzetu Pascal Mayalla kwa msiba wa mwajiri wako wa zamani mzee Mengi wa IPP. Najua Pascal Mayalla ulianzia RTD lakini ulifahamika na kuwa maarufu ulipohamia ITV na kuendesha...
7 Reactions
30 Replies
5K Views
Huku ninakoishi nashangazwa kama sio kukerwa na katabia ka ajabu sana! Wadada wengi wa huku kila unayejaribu kuzungumza nae, Ukimuuliza anaishi wapi atakwambia anaishi SAKINA! Hakuna Mdada...
0 Reactions
5 Replies
719 Views
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF. Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu...
103 Reactions
1K Replies
137K Views
Wadau wa JF Haya hapa ni mambo saba ambayo marehemu alipitia na kuyafanya katika maisha yake. 1. Alilala sakafuni Safari ya maisha ya Bw. Mengi ilianzia eneo la Machame huko Kilimanjaro katika...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuweka hashtag kama #BringbackMdudeAlive kisha baada ya hapo unavuta shuka unalala haitosaidia chochote hawa jamaa kama wamefumba macho vile wala hawaoni. Hata kusaini petition mitandaoni nayo...
1 Reactions
1 Replies
801 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameandika katika akaunti yake ya Instagram, kumtaka Amber Ruty afike kituo cha polisi. Nanukuu, Wakati TCRA wakijipanga kuchukua hatua, mimi namtaka mwenye picha...
3 Reactions
171 Replies
52K Views
Baba mchungaji Kala ng'ombe aliyenona
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…