Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

nawaomba wahusika hasa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa hawa wenye vibanda vya kuonyesha mipira mitaani majirani wanashindwa kulala hata watoto hawalali mapema kwa kelele za washangiliaji. naomba...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza. Takribani wiki moja sasa nchi ya Tanzania imekumbwa na msiba wa bilionea maarufu Dr. RA Mengi lakini katika hali isiyo ya kawaida sijaona bwana nywele nyeupe. Huyu ndugu kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WANAUME WA DAR MNAKWAMA WAPI?? KWENYE KALE KACLIP KA MCHUNGA KONDOO WA DAR AKICHINJA KONDOO WAKE SISI WANAUME WA MIKOANI TUNAJIULIZA MASWALI HAYA 1. Mwanaume kamili unatumiaje dakika 1 na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za jioni wana jf na wapenzi jf Niende kwenye mada mazima ili nielimishwe ni kigezo gani viongozi wetu wa dini wanakusudia kutumia kushiriki ibada ya mazishi ya mengi kikiristo Nijuavyo mimi...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Nimenunua bidhaa kupitia KIKUU biashara ya mitandao mwaka pili sasa ila wameanza ufigisufigisu sasa.Bidhaa inaonyesha imeshafika Dar es Salaam Ofisini kwao wiki na nusu lakini hawanipi taarifa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekua nasoma gazeti la Thisday mara kwa mara na haipiti siku mbili bila kuona habari za Manji na mara nyingi ni za kumkandamiza.Mi binafsi simpendi Manji lakini naona hii ni zaidi ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hapa namaanisha wale wanaoswali swala5 ,wale wacha Mungu jpili hawakosi. Wamejiweka mbali na ulozi,pombe,uzinzi na kila aina ya starehe. Unakuta jitu lilevi,lizinzi,muuaji alafu hakuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf sote tunakumbuka MO alipotekwa na watu WASIOJULIKANA taifa lilivyopaza sauti , je haoni ama hasomi vyombo vya habari kujua kuna mtu katekwa kama yeye ?? Japo kutoa ni moyo sio...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana JF. pia poleni kwa kuomboleza. Nawaomba viongozi wa JF ikiwa mnamtambua verify Id za watu waliofariki mf: Dr. Mengi, Kibonde nk: mzitambulishe tuweze Kujua background...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inasambaa video inayodhaniwa ni ya Gwajima akingonoka na binti/mwanamke.,Mwanamke anayeonekana kwa mwonekano wa kawaida ni smart na kwa asilia flani ni maarufu kwa kiasi chake je? 1. Mpaka sasa...
6 Reactions
67 Replies
13K Views
binafsi sifurahishwi na hizi harakati za kiboya za kuteka teka watu. Kama sisi ni democratic state hizi habari za kuteka watu zinakujaje?? Kama mtu amekosa kuna vyombo vya dola,msitutishe mtateka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika kuuga mwili wa mpendwa wetu na mwenyekiti wa makampuni ya I.P.P Dr .R.mengi pale ukumbi wa karimjee hall kulikuwepo na nafasi za vingozi mbalimbali kuzungumza katika nafasi zao kutoa...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Imeandikwa tangu enzi na enzi kwamba Shetani hana rafiki , leo usemi huu umedhihirika , Dr Gwajima aliyekuwa upande wa wananchi akashiriki kampeni ya Mungu ya kung'oa ccm madarakani 2015 ...
13 Reactions
35 Replies
5K Views
I pray that we all have a very blessed and fruitful Ramadan. Please Remember Everyone of Us, Our Parents who Passed Away recently and long years ago Friends, Sick people and their families in...
8 Reactions
10 Replies
962 Views
Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba wa mzee wetu. Mungu aendelee kumpumzisha kwa amani Dkt. Reginald Mengi. Amen! Tangu zitangazwe taarifa za ghafla za kifo chake, kumetokea...
34 Reactions
333 Replies
55K Views
Nimeshangaa ITV Na East Africa TV kuendelea Na vipindi vya kawaida mpaka kuonyesha na Isidingo Na Nirvana jioni hii 07/05/2019 siku ambayo mwili wa mwenyekiti uko nyumbani kwake Kinondoni Na...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Ninaomba nieleweke kuwa watumishi wa umma na wa taasisi binafsi tumeminywa kwa miaka 4 mfululizo. Sidhani kama kuna nchi duniani ukiondoa Tanzania imewahi kuwanyima nyongeza ya mishahara watumishi...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
KIwanda kinapatikana katika bonde LA MTO msimbazi huku sukita,imekuwa ni kero has a kwasisi wakazi wa upande huu wa Kigogo ukiwa maeneo haya harufu ya kama MTU anakaanga korosho tena ikiwa kama...
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Hivi vitambulisho sasa imekuwa kodi ya kichwa rasmi.kuna mahala nipo ndugu zangu inatisha.watu wanapelekwa puta kama wakimbizi katika nchi yao. Ulinzi uliopo picha haiwezekaniki labda kama nataka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…