Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kupitia teknolojia hii, sura ya mtu yeyote inaweza kupandikizwa kwenye video ya mtu mwingine kwa nia ovu (potofu). Kutokana na tukio la hivi karibuni, ni vizuri tukatambua uwepo wa hii...
4 Reactions
55 Replies
10K Views
Wale huwa hawatukanwi ,.. Namwonea huruma sana ... Na bado.
6 Reactions
44 Replies
5K Views
GWAJIMA UTALAANIWA KWA AIBU ULIYOITIA FAMILIA YAKO NA KANISA KWA UJUMLA. HUNA MAADILI YA KITANZANIA KABISA LAKINI ZOTE HIZO NI LAANA MUNGU AMEKUPA. NA BADO UTATEKETEA SANA KWA MAOVU YAKO
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Mimi nimetafakali Vitu vingi wakati Jana mwili wa marehemu Mzee, Lovely dady, Trillion, role model wetu ulipokuwa unapitishwa mitaani. Yale machozi na huzuni ndio nimeamua kuleta hii tread hapa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Waindi wanaokumbatiwa na ccm wangekuwa wanafanya mambo bongo mfano kujenga tu, tungekuwa mbali sana! Mengi ameacha mengi ya kujifunza!
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau mambo vip? Ki ukweli leo Msiba wa Mengi umeamua kuweka unafiki pembeni kuhusu huyu mtoto wa Mfalme. Paul Makonda kuhusu kuwazarau au kuleta ukabila kuhusu wachaga Mheshimiwa Mbowe kamcahana...
12 Reactions
52 Replies
5K Views
Mwenye taarifa zaidi atuwekee hapa, maana mm nimekutana nayo kwenye page ya Instagram ya mh Laurent Masha. Engineer Paul Chizi alikuwa mtaalamu wa mambo ya aviation, alikuwa kufanyakazi wa...
2 Reactions
25 Replies
8K Views
Kwa hii system yenu mtu akiwa na nyaraka zote anaweza sajili kampuni ndani ya siku moja tu. Namba ya huduma kwa wateja inamsaada sana japo haipokelewi 24 hrs kama mnavyodai.Ila mmetisha sana
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Why did the chicken cross the road? Well in one German town we now know the answer: to get a drink of water. A zebra crossing with traffic signs for chickens was set up by a local resident as a...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sahivi ndo tunamalizia ibada watu ni wengi sana hadi baadhi ya barabara zimefungwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu nataka niwe na PHD au Kama Vipi niwe Prof kabisa kisha niendelee na mishe zangu za maisha. mbinu za mkato za kupata Uprof ndani na nje ya nchi ni zipi wakuu. Ziwe halali sitaki kuja...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Wakuu hapa kuna mvua kubwa kweli kweli Pomoja na radi, imeanza tangu mida ya saa tano,Tuombeane uzima Update Hii mvua iliyonyesha leo Jumanne. Hapa haijawahi kutokea.
6 Reactions
100 Replies
11K Views
Tulishuhudia Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasa vyombo vya habari havikujishughulisha na kutuambia ukweli juu ya nani anahusika. Leo Mdude Nyangali baada ya kutojulikana kwa siku kadhaa...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Huyu mtangazaji maarufu amepotelea wapi? Ni muda mrefu sasa sijamsikia, nakumbuka mara ya mwisho alikuwa afisa masoko wa TFF. Mwenye kujua atujuze.
0 Reactions
26 Replies
12K Views
Hakika umemaliza mwendo salama mzee kipenzi Nimekuja nyumbani machame kwa ajili ya kukupumzisha mzee kipenzi cha watu Umejitoa kwa maisha ya wengi ikiwemo mimi mwenyewe Pumzika kwa amani...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Ni tumaini la kila mtu anaetumia juhudi kufanya kazi kua atapata mafanikio hasa mafanikio ya kiuchumi. Nimekua katia kautafika kangu kwa muda mrefu sana na baada ya kua na marafiki na hata ndugu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu imekuwaje kondom zimekuwa adimu hivi? Nani anakwamisha haya mambo? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari za leo wanaJF. Ni siku kadhaa zimepita sasa tangu serikari yetu tukufu ya Tanzania imetoa onyo la kusitishwa kwa matumizi ya mifuko ya plastiki na nailoni.Hili ni jambo jema kabisa kwa...
1 Reactions
0 Replies
952 Views
Inafahamika dunia nzima kwamba wanawake ndiyo wanaobeba ujauzito, lakini je, umewahi kudhani kwamba inawezekana kwa mwanaume kubeba ujauzito kwa miezi tisa na kujifungua? Vuta picha unakutana na...
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…