Kassimu Mchuchuri
Member
- Aug 9, 2018
- 95
- 294
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) ni Silaha hatari sana, inaharibu kila kitu. Tunahitaji kuiweka teknolojia hii kwenye uangalizi madhubuti kama ilivyo kwa silaha za nyuklia. Tunahitaji kuhakikisha usiri, uaminifu na upatikanaji, tuwasimamie wale ambao tunawapa ujuzi huu.