The Wakanda Panth3r
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 260
- 205
Habari wanabodi,
Nilikuwa nauliza na kujua gharama za kupaka rangi kwa mara ya pili gari ndogo. Kwa Dar es Salaam ni kampuni gani nzuri na gharama zake? Je kuna wachina wanaofanya hizi Kazi?
Nawasilisha.